Louisiana imekuwa jimbo la kwanza nchini Marekani kutaka kila darasa la shule za serikali, kuanzia msingi hadi chuo kikuu kubandika Amri Kumi za Mungu ukutani.
Hatua hiyo iliyochochewa na chama cha Republican na kutiwa saini kuwa sheria na Gavana wa jimbo hilo Jeff Landry (pichani) siku ya...