amuua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baba ajinyonga baada ya kumuua mwanaye

    Watu wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti likiwemo la baba kumuua mtoto wake mwenye umri wa miaka mitatu kisha na yeye kujinyonga. Akizungumza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa, amesema tukio hilo limetokea Julai 28 mwaka huu katika kijiji cha Sayaka...
  2. P

    DAR: Adaiwa kumuua mlinzi wake Pugu, baba yake naye auliwa

    Huko Pugu, Dar es Salaam, kuna tajiri na mganga wa kienyeji, inasemekana amemuua mlinzi wake kwa tuhuma za wizi. Na tajiri huo na mganga wa kienyeji ,ametokomea kusikojulikana. Na wananchi wenye hasira, wamemuua kwa kumpiga mawe, baba wa muuaji huyo. ======================= Mkazi mmoja wa Pugu...
  3. Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

    Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara. Inasadikika kuwa chanzo...
  4. Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

    Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili. Tukio hilo limetokea majira ya saa...
  5. Amuua mkewe, na yeye kujiua kisa mzozo mume kuuza vitu vya ndani

    RASHIDI Mkayala mkazi wa Mtaa Gemu Kata ya Mwanga Kusini Manispaa ya Kigoma Ujiji amemuua mke wake Bernadeta Cosmas(33) kwa kumnyonga shingo hadi kufa chanzo kikielezwa kuwa ni mgogoro baina ya wanandoa hao. Muda mfupi baada ya Mkayala kutekeleza tukio la kumnyonga mkewe, naye alijinyonga kwa...
  6. Kijana (30) amuua mpenzi wa mama yake (34) kisa wivu wa kimapenzi

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kijana mmoja kutoka Arusha ajulikanaye kwa jina la Idrisa Baltazari (30) amefanikiwa kumuua mpenzi wa mama yake aitwaye Manzi Yambayamba (34) kwa sababu za wivu wa kimapenzi. Habari kamili kutoka eneo la tukio zinadai kuwa kijana huyu pia...
  7. Askari amuua askari mwenzie Mtwara

    Askari wa Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Eliuterius Hyera, aliyekuwa Mkuu wa Kituo Kidogo cha Polisi Chiungutwa wilayani Masasi, amefariki dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi na askari mwenzie. Taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Kamishna Msaidizi wa...
  8. Bodaboda amuua mtoto wake kwa kumkata shingo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikilia mtu mmoja aitwaye Amedius Mfoi (25) dereva bodaboda mkazi wa Muriet Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Amani Amedius Mfoi (03) Mkazi wa Morombo jijini Arusha. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha...
  9. Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza...
  10. Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

    Kwa Madiba kuna mambo, Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma Muuaji alikua na bifu na Marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo...
  11. Mbeya: Atuhumiwa kumuua baba yake kwa kumpiga na ubao

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia kijana aitwaye HUMPHREY FRANCIS KIHALI [25] Mkazi wa Ilemi Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya baba yake mzazi aitwaye FRANCIS JOHN KIHALI [50] Mkazi wa Ilemi Jijini Mbeya. Awali Septemba 10, 2023 majira ya saa 10:45 jioni huko eneo la Ilemi...
  12. Njombe: Amuua Mama yake mzazi na kisha Kumbaka

    Muuguzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mawengi Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, Ubatizo Sanga mwenye umri wa miaka 55 amefariki baada ya kupigwa na mchi wa kinu kichwani na baadaye kubakwa na Mtoto wake Asifiwe Haule mwenye umri wa miaka 25. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva...
  13. Kumbukizi :Mwanafunzi wa Shule ya Kikatoliki amuua mwalimu kwa kumchoma kisu darasani.

    Moja kwa moja.. Mwalimu katika shule ya sekondari ya binafsi katika mji wa Ufaransa wa Saint-Jean-de-Luz karibu na Biarritz ameuawa kwa kuchomwa kisu na mwanafunzi siku ya Jumatano alipokuwa akifundisha darasani. Mshukiwa wa shambulio hilo, mwenye umri wa miaka 16, alikamatwa na kuwekwa chini...
  14. B

    Songwe: Amuua mtoto wa mumewe akimtuhumu kupoteza ng’ombe wawili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limethibitisha kumkamata Veronica Petro (24) mkazi wa Wilaya na Mkoa wa Songwe akituhumiwa kumuua mtoto wa mume wake, Mageshi Usiga (7) aliyekuwa akimlea. Kamanda wa polisi mkoani humo, Theopista Malya, amesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo baada ya mtoto huyo...
  15. Amuua mke wake kisa tamaa ya mali

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 56 Mkazi wa Buzilayombo Wilayani Chato Mkoani Geita anatafutwa na Polisi kwa tuhuma za kumuuwa Mkewe aitwaye Kasaka January (48) kwa kumkata mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake chanzo kikidaiwa kuwa ni tamaa za mali zilizokuwa zinamilikiwa na Mwanamke huyo...
  16. M

    Tabora: Mume amuua mkewe na kumfukia chini ya uvungu wa kitanda.

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Salima Maulid mkazi wa Mtaa wa Mbilani Kata ya Kidogo Chekundu Manispaa ya Tabora, ameuawa na mtu anayedaiwa kuwa ni mumewe kisha mwili wake kufukiwa chumbani, chini ya uvungu wa kitanda. Mwili wa marehemu tayari umefukuliwa na Jeshi la Polisi...
  17. Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi. Mwanamke huyo ambaye anatambulika kwa jina la Fausta Tesha (26) aliuawa kwa kukatwa...
  18. B

    Shabani Matola amuua baba mwenye nyumba baada ya kudaiwa kodi ya pango

    Shabani Saidi Matola mkazi wa Kata ya Likongowele wilaya ya Liwale mkoani Lindi, amemuua baba mwenye nyumba wake aitwaye Siamini Rashidi Mtopoka (40), baada ya kumpiga na panga kichwani katika ugomvi unaolezwa kila mmoja akigombea alipwe fedha zake. Imeelezwa kuwa mwenye nyumba alimfuata...
  19. Amuua mwanaye na kumficha ndani kwa miezi mitatu

    Polisi nchini Kenya wamemkamata mwanamke mwenye umri wa miaka 34 anayedaiwa kumuua mtoto wake mchanga aliyejifungua Julai 16 mwaka huu na kuuficha mwili ndani ya nyumba yake kwa zaidi ya miezi mitatu. Kesi hiyo ilifikishwa polisi na binti wa mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 14, ambaye alidai...
  20. Kipofu amuua mama mzazi Njombe.

    Hakika inasikitisha sana matukio ya Mauaji yanaongezeka kwa kasi haswa Mkoani Njombe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…