amuunga mkono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Rais Trump kuwahamisha Wapalestina ili kuijenga Upya Gaza? Ntetanyahu amuunga Mkono Trump !!

    Hiyo inaitwa danganya toto, tunawahamisha Wapalestina Kwa Muda, wanaenda Saudia ili tuwajengee kagaza kazuuuuuuri katamuuu kana maghorofa ya kunesanesa ,viwanja vikali , kagaza kama Paris vile , alafu mtarudi baadae eehhh sawa Wapalestina 🤣🤣🤣 Hamrudi Ng'ooooo , ndo itakua imeishaa !! The...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA, asema taifa linamhitaji Lissu kwa sasa

    Wakuu, Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA. Pia soma: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji Lissu katika kipindi hiki, akiwa ni kiongozi bora na mwenye msimamo. Mambo yanazidi kuwa moto.
  3. Waufukweni

    Upinzani Mkali: Familia ya Tim Walz yagawanyika, Kaka amuunga mkono Trump

    Familia ya Walz inaonekana kuwa na mgawanyiko mkubwa wakati ambapo mgombea mwenza wa Kamala Harris, Tim Walz, ambaye ni Gavana wa Minesota anajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa 2024 huko Marekani. Jeff Walz, kaka mkubwa wa Tim na mfuasi mkubwa wa Donald Trump, ametoa msimamo wenye nguvu dhidi ya ndugu...
  4. G

    Trump anazidi kuchanja mbuga, Mgombea maarufu wa kujitegemea Robert F Kennedy Jr amuunga mkono

    Mgombea wa kujitegemea katika uchaguzi wa urais Marekani Robert F Kennedy Jr ameungana na mgombea wa chama cha Republican, Donald Trump, jukwaani katika mkutano wa kampeni huko Arizona baada ya kujiondoa kwenye kinyang’anyiro hicho na kumuunga mkono rais huyo wa zamani wa Marekani. Kennedy ni...
  5. Replica

    Joe Biden amuunga mkono Kamala Harris kuwania Urais, Marekani kupata Rais wa kwanza mwanamke?

    Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha Democrats! Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton? Pia, soma=>...
  6. chiembe

    Jenerali Ulimwengu: Wakosoaji hawamtendei haki Paul Kagame

    Jenerali Ulimwengu alitoa kauli hiyo wakati akihojiwa na chombo Cha habari kinachofahamika kwa jina "chanzo". Jenerali Ulimwengu aliunga mkono ukandamizaji demokrasia unaofanyika Rwanda kwa kisingizio Cha mauaji ya kimbati, ambayo hata hivyo yametokea miaka karibu thelasini Sasa. Kagame amejaza...
  7. SULEIMAN ABEID

    Mbunge Luhaga Mpina amuunga mkono Rais Samia kuwabana Mawaziri

    TAARIFA YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) KWA UMMA, LEO TAREHE 6 APRILI, 2022 KUUNGA MKONO KAULI YA MH. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ALIYOITOA MACHI 30, 2022 KUHUSU BAADHI YA MAWAZIRI KUSHINDWA KUTOA MAJAWABU NA UFAFANUZI WA KINA...
  8. Jidu La Mabambasi

    Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

    Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini: "Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli. Kwanini msiombe yafuatayo: 1. Abstract...
  9. J

    DC Jokate Mwegelo: Namuunga mkono Rais Samia 2025

    "NAMUUNGA MKONO MAMA 2025" "Ni kweli kabisa 2025 ni mwaka wa kumuweka Rais Mwanamke Ikulu, ni wakati sasa wa Wanawake wote kuungana na kutumia fursa hii kufanikisha hili na kuendelea kuandika historia Tanzania, naamini Wanaume pia watatuunga mkono maana nia ya Mama kulitumikia Taifa letu wote...
Back
Top Bottom