Mimi huwa si mpenzi sana wa kuanzisha mada kwenye jukwaa la siasa, maana huwa naona vurugu ni nyingi sana humu, watu huwa hawajadili kwa hoja, bali ni kujibu jibu tu arguements kwa vijembe kama mataahira flani hivi.
Ila leo nimeshindwa kuvumilia, inabidi niulize. Hivi inawezekanaje mtu amepewa...
Salaam Wakuu,
Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu.
Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini.
Hayati Magufuli alivyokuwa...
Lewis E. Gleeck Jr, ni mtumishi wa zamani wa Idara ya Mambo ya Nje, Marekani. Baada ya kustaafu, akiwa amelitumikia taifa lake kwenye nchi mbalimbali duniani, aliweka makazi yake Ufilipino, akifanya kazi na Shirika la Marekani la Misaada (USAID).
Katika maisha yake, Gleeck aliandika vitabu 14...