Wakuu,
Wakati taifa linaeleka kenye Uchaguzi, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha amewaomba wanasiasa wasitumie fursa ya kuwafuturisha wananchi kama rushwa ya kwenye uchaguzi
Soma pia: Rais Samia awafuturisha watoto yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu
"Niwaombe sana viongozi wa kisiasa...