Kuna mdau humu ameposti juu ya changamoto zinazowakumba waandishi wa Azam Mikoani eti wameshushiwa ujira kutokea tshs 500,000 mpaka 300,000 kwanza nikagutuka kwamba wanalalamika kwa kulipwa 300,000?!!
Kama Azam waandishi mikoani wanalipwa 300,000 basi ITV hali ikoje? Je, hizi media ndogondogo...
Salamu kwenu nyote.
Final ya UEFA champions league ya miamba, patashika isiyo ya mkato wa shoka. Vumbi si vumbi , midfield battle, possession vs counter attacks, number of shorts and efficiency, presence in final third, set pieces threats, conversion of chances created, 3-5-2 formation...
Denis ni mfanyakazi wa moja ya ubalozi wa nchi maarufu sana hapo Oysterbay, miaka mitano iliyopita alikuwa mkoani Iringa kikazi, vijijini huko wazee wa mamiradi na ma padiem, hana demu hana nini, ghafla kijijini huko akaona mali kali sana, vijana wanasema pisi ya kwenda, ikabidi aipigishe sound...
Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....
Karibia mwezi mzima....nmeteseka sana mimi. Sikuwa nikilala...hata mchana tu nmekuwa nakaa room kwa mashaka. Documents zangu zimeharibiwa na pesa zangu zaidi ya mamilioni ya shilling. Ni kama billion 2 hivi.
Maana nlikuwa nmeandaa project moja yaani min ningepata bil 2. Ikaharibiwa vibaya sana...
Kuna mama mmoja anaitwa Aisha aliolewa na Mtanzania mwenye asili ya Kioman mwaka 1979 huyu Aisha aliwakuta watoto 4 kwa huyu mumewewakiwa na umri miaka 6 wengine miaka 5 yaani bado wadogo waliozaliwa kwa wanawake wengine walioachwa.
Huyu Aisha alipoolewa aliwalea watoto hao kama watoto wake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.