anavuna

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CWT ni Shamba la Bibi, kila anayepata nafasi anavuna atakavyo, Seif (Katibu Mkuu) na Allawi (Mweka Hazina) ni kielelezo sahihi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Walimu nchini Tanzania (CWT), Deus Seif na Mwekahazina wa chama hicho, Abubakari Allawi, wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, baada ya kupatikana na hatia ya kutumia madaraka yao vibaya kwa kuchepusha Sh 13.9milioni mali ya CWT. Hukumu hiyo ilosomwa week iliyopita...
  2. M

    James Mbatia Kusimamishwa NCCR Mageuzi, Mrema anasemaje? Mbatia alihusika kumtoa Mrema NCCR, isije ikawa anavuna alichopanda!

    Mtu unaweza kumfanyia jambo baya mwenzako halafu unasahau. Ukifika wakati wa kuvuna uovu uliopanda mtu hulalamika sana na kutafuta huruma kwa watu!! Lakini ni wazi kuwa Mbatia alishiriki kumng'oa Mrema pale NCCR Mageuzi akishirikiana na wenzake!! Alichokifanya kinamrudia. Namshauri aende kuomba...
  3. M

    Tuwe wakweli, Freeman Mbowe anavuna alichokipanda

    Ukiijua kweli itakuweka huru. Nduguzangu hii ni ngumu kumeza ila ipo katika politiko sayansi nimeona si vyema kuficha ngoja tuelimishane japo kidogo. Nikisema sayansi ninamaana ni uchunguzi wa kimaabara kupata ukweli, iko hivi Mbowe alijenga nguvu ya umma bila huo umma kuupa hiyo nguvu. Nini...
  4. Rais Samia anavuna alichopanda, hana budi kuvumilia

    Habari zenu ndugu zangu, Wakuu wenzangu, wakati Rais Samia anaingia madarakani wengi tulimshauri aache kufanya maamuzi kwa kufuata mashinikizo ya watu ndani ya mitandao ya kijamii. Kama ilivyo kawaida ya ushauri ni mshauriwa kufuata au kuacha kufuata anachoshauriwa. Raisi akaamua kupuuza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…