anaweweseka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Magoma anaweweseka!

    "Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini...
  2. ZaiyLissa anaweweseka na penzi la Mingoclassic mwaka huu kitawaka moto kati yake na Luludiva

    Aliyewahi kuwa mpenzi wa dulla makabila ,ZaiyLissa bado anaweweseka na penzi la aliyewahi kuwa mpenzi anayekulikana kama Mingoclassic. Tangu awali wengi tulishajua Zai na Dulla hawatadumu yani ilikuwa suala la muda tu ndio maana hata ndoa yao kuvunjika ndani ya siku 45 tu haikutushtua sana na...
  3. M

    Zelensky bado anaweweseka; anashindwa kukubaliana na ukweli kuwa Bakhmut imeshatekwa

    Zelensky anatia huruma, hataki kuamini kuwa habari za kutekwa Bukhmut ni halisi!! Anatamani iwe ni kama ndoto ili atakapotoka usingizini aseme Ah! kumbe ni ndoto tu. Lakini huo ndio ukweli, aliwekeza nguvu zake zote kuilinda ngome yake kubwa ya Bukhmut. Wakati msaidizi wake amekubali kuwa...
  4. M

    Mbona Rais Putin anaweweseka?

    Huyu Putin naye sijui Akili zake zimehama au vipi? Unatangazaje kuyajumuisha majimbo ambayo hauyadhibiti kijeshi kwa 100%. Mpaka Sasa Urusi imeshindwa kuyateka kijeshi kwa 100% majimbo ya Donbas(Luhansk na Dotnesk). Huko Dotnesk Urusi inamiliki 58% ya Jimbo lote na 80% ya Jimbo la Luhansk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…