Hello Wana JamiiForum. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji Mtaalamu wa WordPress Website anayefahamu vizuri Site Migration.
Lengo kuu la uhitaji huo ni kutaka kuhamisha website zangu kutoka Hosting wa sasa na kuzipeleka Kwa hosting mwingine.
Kwa yeyote aliyekuwa tayari...
Kuna kampuni moja ilikuaga na ofisi Ubungo mawasiliano ila baadae walihamia Tegeta, shughuli yao ilikua ni kukopesha pesa kwa dhamana ya bidhaa za kielektroniki kama TV, Radio, Fridge au Simu.
Nilisikia walihamia Tegeta ila kwa bahati mbaya kwasasa sina mawasiliano yao, yoyote ambae anawafahamu...
Elie Mpanzu ndio kwanza leo ameanza kuitumikia rasmi Simba, alitakiwa acheze dakika zote 90 kWa sababu hana match fitness.
Lakini huyu jamaa yetu Fahdu ambaye mimi namuona kabisa anabahatisha dakika 58 tu anamuita nje.
Isitoshe akaendelea kufanya sub za kuwaingiza Mzamiru, Kagoma, Mutale na...
Great thinkers.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane.
Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji. zingatia kutaja sehemu husika Vizuri na namna ya kufika huko..
Kuna mtu alinitajia kuna kibindu njía ya...
Habarini nyote. Nawiwa kuja kwenu, kuuliza kuhusiana na undani wa hii cult, au hili kanisa linaloitwa Shincheonji Tanzania.
Nimekutana na watu na nimefanyiwa uinjilishaji, mpaka muda huu nasoma kwenye center yao.
Suala ni kwamba naona ni kama sielezwi kwa uwazi baadhi ya mambo. Kiukweli nina...
1:Namba za Magari Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu
Namba za magari yanayitumika kumbeba Rais au Makamu wa Rais na Waziri Mkuu haziandikwi namba wale herufi katika kibao chake, bali huwa na nembo ya taifa ya Bwana na Bibi. Kwa Kiingereza magari haya hufahamika kama State Cars.
2. Spika wa...
Habari za wakati huu wakuu. Mwezi wa 8 tunategemea kuhamia kwenye makazi mapya maeneo ya Viwege msikitini. Nina wadogozangu wawili ambao mmoja yupo shule ya msingi na mwingine kidato cha tatu maeneo ya Mwananyamala. Kutokana na hali ilivyo tunatazamia kuweza kuwahamisha iliwawe karibu na...
Naomba kufahamu je ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza atalazimika kukaa kabla ya kuruhusiwa kuoa au kuolewa?. Kuna ndugu ameuliza swali hilo ili afanye maamuzi ya kujiunga na jeshi hilo. Tafadhali anayejua kwa uhakika naomba anijuze.
Habari za leo wana bodi.
Niende moja kwa moja kwenye mada, naomba anayefahamu mshahara wa PUTs anisaidie Kwa anayeanza kazi.
Natanguliza shukrani kwa wachangiaji.
Mjadala wa Bandari umeteka mitandao yote iwe Instagramu, Jamii Forums, Youtube, Twitter, Facebook na mitandao mingine, pia mjadala mkali kwenye vijiwe vya kahawa, mitaani na maeneo mbalimbali yanayokutanisha watu kila mtu akiongea la kwake.
Tumeshamsikia Waziri Profesa Mbarawa, Tumemsikia...
Habali wakuu?
Poleni kwa mishemishe za hapna na pale.Mimi natafuta college za nje ili niweze kuapply sabab binafisi natamani sana kwenda nje hii ni ndoto kubwa ktk maisha yangu ambyo nilijiwekea.
Nimejalibu njia nyingi lkn bado sijafanikiwa nikaona ngoja nijalibu kwa upande wa elimu. Mimi...
Kuna mdogo wangu kachaguliwa. Agriculture economics and agribusiness pale SUA.
Nimekuja hapa jukwaani kuuliza kwa wanao ijua vizuri na fursa zake katika Dunia ya sasa.
Je, inaweza msaidia 2025 atakapo graduate.
Natanguliza shukrani 🙏
Leo jioni nikiwa kwenye kijiwe/kidukabia cha Manka hapa mtaani hasa mida kama hii nalazimika kuangalia kile wanachoangalia wateja wengine.
Basi bwana kikakuta tamthilia ya saluni ya mama Kimbo Ila kila nikiangalia sioni mafunzo chanya ya kizazi kijacho nikajiuliza hivi haka katoto kanachoigiza...
Wakuu kwema?
Aisee natafuta mtu anayeifahamu laravel vizuri kabisa hasa ORM.
Kuna kazi nataka tushirikiane naye malipo yapo.
NOTE: KAZI TUTAFANYA WOTE KWA KUSHIRIKIANA KWA UKARIBU ZAIDI PIA HAKIKISHA UNAFAHAMU KWELI LARAVEL NA SIO KUBAHATISHA NATAKA REAL COMPTENT NA SIO MTU WA KUBAHATISHA...
Nataka kudevelop mobile app ya ku Livestream mpira wa miguu kwa ligi za ulaya. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa API's zinazotoa hii huduma anijuze .
Au kama kuna alternative nyingine ningependa pia kusikia.
Chief-Mkwawa et al
Habarini wana jamvi,
Kama kichwa cha habari kinavo jieleza nauhitaji wa mahindi kuanzia tani moja, kwa yeyote mwenye nayo aje na ofa yake tufanye biashara, au kama unafahamu yanapopatikana na bei yake naomba msada wako.
Mawasiliano 0744666115
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.