Mimi binafsi sina hakika kama dollar ni tatizo la dunia nzima.
Kwamba tukilima mahindi mengi tukauza nchi za nje hatuwezi pata hizo dollar?
Kwamba tukilima kahawa kwa wingi tukauza nje ya nchi hatuwezi pata hizo dollar?
Kwamba tukilima korosho kwa wingi tukauza nje ya nchi hatuwezi pata hizo...
Migogoro hii imekuwa mingi, mbona sisikii wakifungwa? Wengine ni familia moja wanakula dili, documents zinapigwa kopi kisha kila mtu anamtafuta mjinga wake.
Wamezidi kuongezeka, ziundwe sheria maalum kwa ajili yao