Siku 3 zilizopita Mwanamziki Benpol alisema hakufurahia ndoa kama ambavyo anaona wengine wanavyofurahia ndoa zao. Ndoa anayoizungumzia ni ya yeye na Anerlisa - binti kutoka Kenya. Lakini mara kadhaa Anerlisa amesisitiza kuwa hataki kuzungumziwa na Benpol kwa chochote - iwe ni kizuri au kibaya...