Wikiendi hii iliyopita, chombo cha kubeba binadamu cha anga za juu cha Shenzhou-13 kilifanikiwa kuwapeleka wanaanga wengine watatu katika Kituo cha Anga za Juu cha China. China ni nchi kubwa zaidi inayoendelea duniani, na maendeleo yake kwenye sekta ya safari ya anga za juu ni hamasa kubwa kwa...