Ni muda muafaka sasa wa kubadilisha muelekeo wa kutweka jahazi la mama Tanzania.
Wenzetu duniani wanakimbia sana kwenye swala la teknolojia ...na wanachokifanya ni kimoja tu...kila wazo liwe la mzaha au lenye ambition kubwa wanalifanyia kazi.
Turejee ideas na values za jamii ya kiasili iliyopo...
Mawasiliano na vyombo mbalimbali vya anga za mbali ni kitu muhimu sana ndio maana mamlaka husika imekuwa ikiweka mifumo imara itakayoweza kuwasiliana na vyombo mbalimbali vinavyoenda katika anga za juu kufanya chunguzi.
Mengi yaliyojificha yapo juu angani kwa kuchukulia vile tunavyoweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.