angalizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sheikh23

    Angalizo kwa Simba SC kuelekea derby tar 8 March 2025

    Wakuu Assalam Alleikhum. Binafsi nipende kutoa angalizo juu ya upangaji wa kikosi kwa Coach Fadlu na benchi lake la ufundi kuelekea derby jumamosi. Kama kocha Fadlu anataka matokeo,wachezaji wafuatao wasianze kikosi cha kwanza: 1. Ngoma 2. Chamou 3. Mukwala 4.Mpanzu 5.Kapombe Kwa Ubora wa...
  2. Pdidy

    Angalizo: Kuweni makini na wafanyakazi wa Kimalawi, wamekuwa wezi kila sehemu

    Angalizo tu HABARINI za asubuhi kwa ujumla Naamini wote mmeamka wazima WA afya Najua hili n kwa wote WANAHITAJI wafanyakazi WA nyumbani Lakini haswaa wale NDUGU ZANGU WA kawe mbezi beach makonde nk mnaoendaga pale kawe kutafuta wafanyakazi WA Malawi WA kuwasaidia nyumban Aka wanyasa Hawa watu...
  3. KikulachoChako

    Angalizo kwa vijana wa kiume; Kuwa makini sana usijekuwa "RETIREMENT PLAN" ya mwanamke yoyote kwenye dunia hii

    Habari za muda waungwana wa hapa jamvini........ Hakika ujana una harakati na changamoto nyingi sana....... Kijana Umekuwa katika mazingira magumu huku ukiipata elimu kwa tabu kutokana na uchumi wa wazee wako...... Umeyashinda magumu hatimaye umeihitimisha safari yako ya kielimu na kuingia...
  4. Mejasoko

    Lisu na Mbowe, Angalizo - Wakati sahihi kuingia, wakati sahihi wa kutoka,

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe. ____ 1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao. 2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia...
  5. B

    Angalizo la usalama: Hala Hala kabla ya Hatari, "Johh Pambalu aongezewe ulinzi!"

    Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine. Kwa hotuba hii ya John Pambalu: Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa: "Pesa kitu gani?" Kwamba, pesa makaratasi! Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika...
  6. B

    Angalizo la usalama: Lissu na wanaoitwa wahaini wote CHADEMA, Akili kichwani asiaminiwe mtu hata baina ya ninyi Kwa ninyi!

    Hii ni wakati tukimpambania Dk. Slaa: Pia soma: Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa Nani asiyejua kuwa TAL ni High Valued Target (HVT) kwa maadui wote wa ndani na nje? Kwamba kwa maneno yao wenyewe, kumbe kipi kinaweza kisiwepo mezani? Kwamba wengine wanajutia kushikilia chupa...
  7. JOSEPHAT_07

    Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  8. Roving Journalist

    Uongozi wa UDSM watoa angalizo uwepo wa CHATU maeneo ya Shule ya Msingi Mlimani

  9. Msanii

    LGE2024 ANGALIZO: Yamepangwa matukio kutuondoa tusijadili UBAKAJI wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Hizi failed attempts za utekaji na episodes za uvamizi uvamizi usio na akili unaofanywa na vikosi vya serikali ni mkakati bunifu wa ndani unaolenga kuliondoa taifa kwenye kujadili, kukemea na kupinga uhuni mkubwa na ovu dhidi ya chaguzi zilizofanyika. Tusitoke relini wakuu Tuendelee...
  10. Bams

    Uamuzi wa ICC, Marekani yatoa angalizo kwa nchi yoyote rafiki itakayojaribu kuheshimu maamuzi ya ICC

    Baada ya mahakama ya ICC kutoa warrant ya kukamatwa Netanyahu kwa serikali yake kukiuka kanuni za vita, kama vile kuzuia kuingia kwa vyakula maeneo ya Gaza, Marekani imeweka wazi kuwa nchi yoyote rafiki wa Marekani, itakayojaribu kutekeleza amri ya mahakama ya ICC, Marekani itaiwekea vikwazo...
  11. Mikopo Consultant

    Angalizo kwa serikali kuhusu ukaguzi wa majengo Kariakoo, nimenusa harufu kubwa ya Rushwa

    Rais naskia ametangaza majengo yote ya eneo la Kariakoo yafanyiwe uhakiki. Japo sijaithibitisha hii habari niliisikia tu juu juu kwenye mitandao. Uhakiki wa majengo ni jambo zuri mno kwasababu itatuhakikishia kupungua kwa majanga ya aina hii - majengo kuporomoka. Kwahiyo kama hili zoezi...
  12. Oya Tusepe

    Biblia Takatifu: Mathayo 7:22-23 ni angalizo linalohitaji maarifa (Wakristo tupo kwenye mtego mkali sana)

    Matt 7:22-23 "Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako? na kwa jina lako kutoa pepo?, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?. Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu." Andiko tajwa hapo juu ni zito sana, na...
  13. T

    Angalizo: Yanga kumtimua Gamondi wategemee ya Benchika kutokea

    Iwapo Young Africa Wana wazo la kumfuta Kazi kocha Wao GAMONDI basi na Wategemee kocha ajae ataja sema Yale Yale ya BENCHIKA kuwa wachezaji hawafundishiki!
  14. 6 Pack

    Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

    Niaje waungwana Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa. Sasa tumeona wenyewe jinsi Iran ilivyo imara kwa air defence yao hadi kupelekea shambulio la ndege 100 za Israel...
  15. KikulachoChako

    DOKEZO Angalizo: Utapeli na wizi kwenye maduka ya Pharmacy/ biashara ya dawa za binadamu

    Habari za wakati huu ndugu zanguni. Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii kwa ujumla wake. Nimepata bahati mbaya ya kumuuguza mgonjwa hapa nyumbani kwangu mwenye ugonjwa wa...
  16. Kikwava

    Angalizo: Watu wa Mbeya mnaoishi Mbeya Mjitathimini mienendo yenu kinidhamu inalichafua Jiji, ipo siku jiji litafutwa

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua...
  17. Ileje

    Angalizo: Chonde Chonde Makolo msing'oe viti mkifungwa kwa Mkapa leo!

    Leo ndiyo siku ambayo wale Waarabu kutoka Libya Al Ahli Tripoli waliotua nchini kupambana na Simba wanatarajiwa kuonyesha kandanda la kibabe kwa kupata ushindi mnono ugenini! Ushauri kwa Wana Lunyasi wote ni kuwa wavumilivu uwanjani, msing'oe viti wala kutoroka! Tunategemea mtaendelea...
  18. GENTAMYCINE

    ANGALIZO muhimu sana kwa Uongozi wa Simba SC na Mashabiki wote wa Simba SC kutoka kwa mwenye Simba SC yangu GENTAMYCINE

    Baada ya Jana Timu yetu Kujitahidi na kutoa Sare ya Suluhu (siyo Samia) na Wachezaji wetu kufanyiwa Fujo pale Uwanjani (nchini Libya) nina uhakika wa 100% ili Kuingiza Timu yetu matatizoni (kama sehemu ya Kulipiza Kisasi) kuna Timu moja yenye Utoto, Roho Mbaya, Ushamba, Chuki iliyopitiliza dhidi...
  19. GENTAMYCINE

    ANGALIZO kwa mliofurumushwa katika Wizara zenu Wiki Tatu Mbili hizi

    Tafadhali hatutaki sasa Kuwaona mkiwa Bungeni hadi pale Kijiwe Majungu chenu Mbezi Beach ( eneo nalihifadhi ) mnaanza kumpiga Majungu Mtu ambaye Kutwa mlikuwa mnamsifu na kumpamba kwa Nguvu zenu zote mlipokuwa Madarakani sawa? Na nasikia Gwiji lingine litaondoka mwisho wa mwaka au mapema sana...
  20. Pdidy

    Ayubu jiandae kesho wanakupa kashfa kama Manula ilivyotokea kwenye dabi iliyopita Simba kufungwa goli 5

    Nawaza na kesho watasema Manula na Ayubu kawafungisha tena. Lengo si kuwatisha juzi niliandika goli 4 mpaka saa 10am goli zimefikia 5 ft kwahio Na hapo kuna matatu au 5 bila, 4 moja au 3 mbili. Kati ya haya ni matokeo ya kesho Yanga akishinda Kaka Ayubu hawa wahuni wanakupenda kabla ya derby...
Back
Top Bottom