Zamani (nadhani hata sasa), kupata mtoto first born dume, watu walikuwa wanafurahi sana. Mwanaume anatembea kifua mbele kila mtu ana-muadmire!
Sasa dunia ilipofikia, first born ndiye mkuu wa nyumba, si baba. Nimeshangaa sana! Mtoto anadiriki kumwambia baba yake: "Aaa baba, na wewe umezidi...