angani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hotel inayoruka angani kwakutumia nguvu ya nyuklia yaja

    Hoteli kubwa ya angani itakayoendeshwa kwa nguvu ya nyuklia yaja, pamoja na huduma zingine, inatajwa kuwa hotel hiyo itakuwa na gym pamoja na bwawa ya kuogelea, hotel hiyo itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 5,000 kwa wakati mmoja na itaweza kuwa angani kwa muda wa miezi kadhaa na itaweza...
  2. Matukio makubwa muhimu angani mwaka huu 2025

    Yafuatayo yatakuwa matukio ya kiastronomia mwaka huu 2025
  3. U

    Maajabu picha bahari ya Galilaya kutokea angani inavyopendeza na kufanana na ramani ya bara la Afrika, Yesu Kristo alitembea juu ya maji yake

    Wadau hamjamboni nyote? Bahari nzuri ya kupendeza ya galilaya imefanana na bara la Afrika Maji yake Yana baraka kubwa sana Mungu ibariki Israel
  4. Pre GE2025 Lissu, mbona mnabadili gia angani tena? “No reform No election”Imekuwaje?

    Wanakumbi. Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje? Shikilieni hapo hapo muone kitu mtafanywa mwezi Oktoba 2025 !..Wajinga sana ninyi!.. Tukiwaambia huyu mtu...
  5. Usikose tukio hili la angani tarehe 25 Januari 2025!

    Once in a life time! Watazamaji na mashabiki wa anga wanatazamiwa kupata burudani ya kipekee ya angani kwani sayari sita - Mihiri, Jupita, Venus, Zohali, Neptune, na Uranus - zote zitaonekana angani usiku. Bila shaka, utaweza pia kuona tukio hili usiku wa leo, kwani sayari zitakuwa...
  6. I

    Hivi ni kweli kuna satellite uko angani yaweza piga picha watu na kurekodi sauti katika uso wa dunia?

    Habarini wanajukwaa Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ni kwamba nilimsikia mtu mmoja akisema,ati wazungu ni balaa maana wamepiga hatua kubwa kitekinolojia,kwamba wamefikia hatua yakutengeneza satellite inayoweza kukupiga picha,kuchukua video yako,hadi sauti yako,(lkn ni kama wakihamua...
  7. Ndege ya Assad Yapigwa na Kombora la S-300 la Urusi

    Ndege ya Assad aina ya Ilyushin II ilianguka mashambani mwa Homs ilipokuwa ikiruka kutoka Damascus kuelekea kutua Tartus. Ilikuwa imepotea kwenye rada kwa kasi ya kilomita 40 kwa saa. Ripoti za milipuko ziliripotiwa katika eneo hilo. Ndege hiyo ilipigwa na kombora la S-300 la Urusi...
  8. O

    Nyota kujipanga mstari angani

    Habari Wana JF, juzi usiku kwenye saa moja hivi niliona kitu Kama NYOTA zimejipanga mstari zikawa zinasogea alafu zikapotea, nikawa najiuliza maswali ni nini hiko bila majibu.
  9. G

    Uliwahi kujitambulisha kwao kuweka nia kumuoa au kumtolea mahari lakini ukabadili gia angani? Why?

    Posa ni kwenda kujitambulisha nyumbani kwa binti unataka kumuoa, Mahari ni mali / pesa ambayo muoaji ataitoa. Inaweza kutokea Mwanaume kashatoa posa / mahari, mategemeo ya ndoa yanakuwa makubwa lakini mambo yanakuwa ndivyo sivyo Uliwahi kukutana na hii hali?
  10. I

    Kuhusu kuishambulia Israel, Iran yabadili gia angani..!!

    Ahadi ya Iran ya kulipiza kisasi dhidi ya Israel kwa mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh mjini Tehran itachukua muda, kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini humo (IRGC). "Wakati upo upande wetu na muda wa kusubiri majibu haya huenda...
  11. Binadamu Tunapaswa Kuwa Jamii yenye uwezo wa Kusafiri Angani, nje ya dunia

    I appreciate all of you reading this. Katika karne hii ya maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia, wazo la kuwa jamii yenye uwezo wa kusafiri angani limekuwa suala lenye umuhimu mkubwa. Licha ya changamoto nyingi zinazohusiana na usafiri wa anga za mbali, kuna umuhimu binadamu tuweze kusafiri...
  12. Iran Wasituletee Vikombola Vyao vile Vyenye speed ya Bajaj(Masaa manane viko angani)

    Safari hii tunataka kuona uwezo wao. Nyuma hapo walituletea vidrone na vikombola vyao masaa manane viko angani. Viliishia Njiani tu. Huwezi kumpiga mu Israeli kwa kutumia vile vitoi. Safari hii tunataka kuona vitu. LA sivyo aache kupiga makelele.
  13. Pikipiki za angani zingalipo Tanzania?

    Zinaitwa HANG GLIDERS. Miaka ya nyuma nilikuwa nikiziona zikikatiza anga la Arusha. Inasemekana zilikuwa za Mzungu, nafikiri, wa Gomba Estate. Tokea nihamie mikoani, sijafanikiwa kuziona tena. 1. Bado zipo Tanzania? 2. Utaratibu ukoje kwa mtu anayetaka kuwa nayo? 3. Gharama ya kununulia na...
  14. Nini kitatokea ISS ikipata hitilafu angani ?

    1 Kwa 1 kwenye swali watalaam international space station ikizimika ghafla baada ya damage yoyote yaani paa ika shut down nini kitatokea je ni kweli Mawasiliano ya internet na simu duniani yatakata au haina uhusiano wowote.
  15. Nini kinatokea angani

    Mliopo dar angalieni anga mda huu, kuna big round bell
  16. Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

    Kwa technologia yasasa huwezi kufanikiwa na vikombola alivyotumia Iran dhidi ya israel'. Iran hawakuwa serious. Hivi kweli wanatudanganya na vikombola vyao uchwala kwamba wanalipiza kisasi Vikombola na vidrone vinamwendo wa km 40 kwa saa alafu eti unamtishia Israel. Tuzungumze ukweli, Iran...
  17. SI KWELI Mawingu yenye Mwonekano wa umbo la Yesu yaonekana Angani nchini Kenya

    Wakuu, Nimekutana na Picha inayosambaa Mtandaoni imeniogopesha sana. Ni mawingu yenye mwonekano wa Yesu, ama kweli siku za mwisho zimefika.
  18. Iran yageuza gia angani, yasema haitalipa kisasi kwa Israel kama wakisitisha vita Gaza

    Tuliambiwa watapiga ndani ya masaa 48, Israel ikasema thubutu. Sasa naona wameufyata na kuja na mengine. Msichokijua nyie wavaa makobaz ni kwamba Israel ilipiga hao makamanda wa Iran ikijua inachokifanya na huyo kubwa gaidi lenu Iran amekua makini sana kutonasa kwenye huo mtego...
  19. Naomba kuelewesha ili kuhusu nyota zilizopo angani na husiano wa maeneo ya makazi, vijiji na miji mpaka sasa

    Wengi wetu tunaona nyota zilizopo angani na zengine zikipewa majina kulingana na mtililiko ulivo wa nyota.ila upande wa nyota umegawanyika kisayansi na kiimani. Hapa nitachukua upande wa kiimani toka kwenye biblia: Nyota isiyo ya kawaida iliwavutia “mamajusi” kutoka Mashariki, na mwishowe...
  20. D

    Hii ndio kubadili gia angani.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…