Tottenham wamefukuza kazi kocha wao mkuu Ange Postecoglou licha ya kuwa ndiye aliyekomesha ukame wa miaka 17 wa mataji kwa kuipa klabu hiyo ubingwa wa Europa League mwezi Mei.
Thomas Frank ndiye mgombea anayeongoza katika mbio za kuchukua nafasi hiyo. Wengine waliotajwa na Tottenham kama...