Mh Rais, mimi ni raia wa Tanzania na ni mwananchi wako mwema.
Naomba kwa masikitiko makubwa tena makubwa nikujulishe tu ya kuwa:
Juzi nilipigiwa simu na Mkuu wa Wilaya ya Lindi akinijulisha kuhusu KIFO cha mwanafunzi ANGEL HONEST KESSY.
Kwanza nilishangaaa kuona Mkuu wa Wilaya akinipa taarifa...