angelina mabula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyanswe Nsame

    Pre GE2025 Angelina Mabula atuhumiwa kutengeneza mpasuko CCM, ubadhirifu watajwa

    ANGELINA MABULA ATUHUMIWA KUTENGENEZA MPASUKO CCM, UBADHIRIFU WATAJWA Mbunge wa jimbo la Ilemela mkoani Mwanza, Angelina Mabula ameingia katika vita kubwa na viongozi wenzake wa Chama cha mapinduzi ccm kutokana na kuendesha genge la vijana wahuni wanaotukana na kuanzisha fujo katika mikutano ya...
  2. Mkalukungone mwamba

    Yaliomkuta Mpina yahamia kwa DK. Mabula, Spika Tulia amtaka Kuwasilisha Ushahidi Kuhusu Madai ya Wodi ya Kituo cha Afya Sangabuye

    Wakuu kwema! Yaliomkuta Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina hatimaye yamemkuta Dk. Angelina Mabula ametakiwa apeleke ushahidi Bungeni kuhusu Kituo cha Afya Sangabuye wodi moja wanaume, wanawake na watoto. Hii inaleta maana gani kwa Wabunge hawa waliokutana na hili jambo kutoka kwa Spika, na jinsi...
  3. chiembe

    Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

    Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya. Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
  4. chiembe

    Pre GE2025 Jimbo la Ilemela 2025 linakwenda na Qwihaya, Angelina Mabula aanza ziara ya kuaga wapiga kura wake katika kata zote

    CCM na wana-Ilemela wameshafanya maamuzi, Ilemela mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Qwihaya. Angelina Mabula ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote. Qwihaya ni mzaliwa wa Ilemela, njia...
  5. E

    Dkt. Angelina Mabula kinachoendelea Ilemela kitakukosti

    Kwa zaidi ya wiki sasa wenye maduka madogo vibanda na mamalishe wamekuwa wakikamatwa na kulipishwa fedha kiasi cha elfu 30 gharama za ukamataji wa service levy, tumefikaje huko wakati wa ukataji leseni halmashauri ilikuwa inadai ulipie service levy ndio upewe leseni, wananchi walilipa kwa...
  6. chiembe

    Ridhiwani Kikwete ni de facto Waziri wa Ardhi? Angelina Mabula de jure? Ridhiwani ajiangalie, maafisa ardhi wanatumia jina lake kumchafua

    Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo. Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule. Maji yakitulia tutaona chini Kuna nini. Wanasema Kuna "amri kutoka juu" na wanamtaja yeye huku vijiweni baada ya...
  7. chiembe

    CCM, Angelina Mabula na Stanslaus Mabula, hizo nyumba zilizouzwa na Jiji la Mwanza zinaenda kuwa ajenda ya kwanza ya wapinzani. Mtatikiswa!

    Rais Samia amefungulia mikutano ya hadhara, na katika majiji ambayo Chadema wanajiwinda kuyadhibiti ni Mwanza, Arusha, Mbeya na Dar es salaam. Wanatafuta ajenda nzito za kutikisa na kuwashika wananchi. Arusha walifanya tukio, Sasa hivi wote wananyea debe, angalau wanaarusha wanaelewa hatua...
  8. Crocodiletooth

    Dkt. Angelina Mabula, unafahamu wizarani kwako kuna msemo wa "kupiga mbata"?

    Pole na kazi Mh. Waziri na pole kwa majukumu yako mengi kweli ya kila siku. Mh. Ofisi yako Dar es Salaam nipende kutoa masikitiko yangu kwako pamoja na jitihada zote uzifanyazo wapo baadhi ya watumishi wako hapo wizarani ambao wanafanya mambo ya hovyo kweli infact fedha ndio imekuwa...
  9. B

    Ridhiwani Kikwete ashiriki wiki ya maji, amshukuru Rais Samia na kuwahakikishia watanzania kutatua changamoto za ardhi

    Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ndugu Ridhiwani Kikwete ameshiriki Uzinduzi wa Wiki ya Maji huko Simanjiro Mkoani Manyara iliyozinduliwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Mje. Dkt. Philip Isdor Mpango. Akitoa salamu za Wizara ya Ardhi, Mhe. Kikwete amempongeza na...
  10. B

    Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angelina Mabula na Naibu Waziri wake Mhe. Ridhiwani Kikwete watafanya ziara kwenye Mikoa ya Singida, Mwanza na Mara kuanzia tarehe 15 Machi 2022 hadi 19 Machi 2022 Hii ni kwa ajili ya kufanya shughuli 3 za Kukagua Mpango wa Matumizi ya...
  11. Shushani Ngomeni

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi kuhusu mgogoro wa ardhi kata ya Maroroni wilayani Arumeru

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAKAZI – ANGELINA MABULA KUHUSU MGOGORO WA ARDHI ARUMERU ARUSHA KATA YA MARORONI KIJIJI CHA KWA UGORO CC: Naibu waziri Mh. Waziri Salam sana zikufikie popote pale ulipo, pole na hongera kwa majukumu mazito ya kujenga taifa letu la Tanzania hasa...
  12. B

    Waziri ang'aka akitaka Kodi za Pango la Ardhi

    Amesikika waziri Angelina Mabula akidai kodi kwa wananchi choka mbaya: Bila shaka hii ni juu ya kodi za pango la nyumba na tozo za Dr. Mwigulu zinazokusanywa juu kwa juu kupitia miamala ya simu. "Inafikirisha kuwa sehemu kubwa ya pesa hizi zinazokusanywa kwa nguvu kutokea kwa wananchi hawa...
  13. OKW BOBAN SUNZU

    NHC yatelekeza miradi ya mabilioni wilayani Chato

    NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula, amesikitishwa kwa kusuasua kwa utekelezaji wa miradi ya shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wilayani Chato mkoani Geita. - Dk Mabula ambaye alitembelea na kukagua miradi hiyo leo Septemba 14, 2021 alionyesha kusikitishwa...
Back
Top Bottom