Vuta kiti, uketi. Kisha agiza popcorn ya kutosha ukipitia mkasa huu wa ajabu.
Ndani ya siku mbili tu, tarehe 25 na 26 ya mwezi November, miili miwili ya mume na mke iliokotwa sehemu tofauti ikiwa haina uhai na haifai kwa majeraha makubwa. Mume alikuwa ni Paul Magu na mke ni Lydia Wangui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.