Hii ni simulizi ya miaka 15 ya maisha ya Anna Mwasyoke katika fani ya uandishi wa habari ambayo imetimia tarehe 02/01/2023. Mwasyoke, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameona ni vema kuushirikisha umma japo kwa ufupi kuhusu safari yake hii anayoieleza kuwa ni “nzuri na tamu isiyochosha" ili...