Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar, Anselmo Mwang’amba amefariki dunia Februari 27, 2025 kisiwani Zanzibar.
Taarifa iliyotolewa na Askofu wa jimbo hilo, Agustino Shao imesema mipango ya mazishi inaendelea.
“Roho ya padri Anselmo Mwanga’mba ipate rehema kwa Mungu ipumzike kwa amani,”...