Ukizungumzia miongoni mwa vyombo vya Habari ambavyo vina uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu naamini RFA kutoka Sahara Media itakuwa namba 1 kabisa. Radio hii imewahi kuwa na Watangazaji bora kuwahi kutokea na waliokuja kubadili kabisa sekta ya Utangazaji nchini.
Lakini Radio Free Afrika...
Kwa habari nilizonazo ni kwamba Kampuni ya Sahara Media inayomilikiwa na ANTHONY DIALLO iko katika kipindi kigumu kuelekea kufilisika au kupigwa mnada kutokana na madeni makubwa yanayo mkabili mmiliki wake hasa kutoka kwa wafanyakazi wake wa vituo vya Star TV, Radio Free Africa na KISS FM...
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.
Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao...
YA MUHIMU zaidi ya mauza uza ya Rais aliyeenda Mirembe, kwenye mazungumzo yake Anthony Diallo alisema:
Katika nchi zetu za Kiafrika Li Katiba linaweza likawekwa pembeni na watu wakaemdelea na ya kwao tu... mtamfanya nini?
Kwani 2005 Zanzibar hakukuwa na Tume Huru? Hakukuwa na CUF kwenye tume...
Mbunge wa Geita vijijini Mh Musukuma amemkaanga na kumuonya Diallo kuwa ni mnafiki na aache mara moja tabia ya kumsema vibaya Hayati Magufuli kwani atamuumbua zaidi.
Musukuma amesema Hayati Magufuli alimsaidia Diallo pale Star Tv ilipofungiwa na TRA na pia alimteua mke wake kuwa mkurugenzi wa...
Katiba yetu inalalamikiwa na Watanzania wote, wapinzani, wanaCCM na wazanzibar kwakuwa katiba hii pamoja na mambo mengine ina uwezo mkubwa wa kuzaa kiongozi dikteta, kiongozi mwizi wa kura, kiongozi mdini, kiongozi mbadhilifu, kiongozi mkabila na kiongozi kichaa ambaye wananchi hawawezi...
UVCCM WAMEMTISHA DKT. ANTHONY DIALLO NA AMEKUBALI KUTISHIKA!
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa Dkt. Anthony Diallo alizungumza na kutoa maoni yake na ulimwengu umemsikia. Alipokuwa akiongea alionekana kuwa timamu. Alionekana alikuwa na agenda na alionekana alijiiandaa vema...
Inawezekana kwa kuwa tuna ugomvi na chuki na Magufuli kila ambaye atakuja msema vibaya tutamwona ni shujaa. Lakini tujiulize "Dr. Diallo alikwii?"
Je Dr. Diallo kweli ana moral authority ya kumsema vibaya Magufuli? Huyu Diallo ukiangalia anacholalamika si kwamba watanzania wamefanyiwa hivi au...
Tayari wameshapotezwa maboya wana deal na alichosema Diallo. Leo Diallo ni Shujaa sababu amemsema Magufuli vibaya. Wanasahau Diallo alishawahi kuwa katika watu wanaofanya ufisaidi nchini
Tuachane na Diallo. Hizi tozo za Kinyonyaji ina maana zinapita hivi hivi hatupazi sauti zetu tumehamia...
Mwandishi: Kwanini unanisalimia hivi(Alimpa mkono, Diallo akampa gonga), wakati fulani tulipita hapa tukawa tunaamini tumeshatoka kwenye Covid. Awamu iliyopita tulikuwa tunasali na kumuomba Mungu, Covid haipo. Bado una wasiwasi na Covid
Dr. Diallo: Covid ipo, jana nilimsikia mkuu wa mkoa...
Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr. Anthony Diallo kwamba alikuwa na jalada hospitali ya Mirembe ni nani?
Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?
Nawasalimu kwa jina la JMT!
=========
KWA UFUPI
Mahojiano kati ya Mhe Anthony Diallo Mwenyejiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mtozi Alloyce...
Huyu jamaa ni mwana CCM kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii, anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaCCM mwenzake Reginald Mengi.
Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji, kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa CCM tu na nina hakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.