Habari za asubuhi wakuu.
Siku ya jana, Mzee Wa Upako yaani Mchungaji Anthony Lusekelo alitengeneza headlines nchini kufuatia interview alyofanya na Jambo TV Online ambapo alizungumzia upepo wa kisiasa ulivyo nchini ikiwemo ishu za utekaji, ukosoaji unaendelea dhidi ya Rais Samia na mengineyo...
Katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa nchini Tanzania, sakata la kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika Mbeya Agosti 11, 2024, lilizua gumzo kubwa. Mchungaji Anthony Lusekelo, maarufu kama Mzee wa Upako, naye hakuachwa nyuma katika kutoa maoni yake kuhusu...
Wakuu habari za muda huu.
Uwanja wa siasa Tanzania umeanza kuchangamka na hii ni baada ya mchungaji maarufu kutoka Tanzania, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee Wa Upako kugusia sakata la Shadrack Chaula (24) kushtakiwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia.
Anthony Lusekelo: Tuache nchi ipumue...
Mtumishi wa Mungu Anthony Lusekero (Mzee wa Upako) amefunguka jana Septemba 4, 2024 kupitia Global TV na kueleza kuwa mpaka sasa hakuna Msemaji aliyefikia kiwango cha Haji Manara.
"Kwanini watu wanapotea potea mnaiibua jambo la mganga… Unajua kunakuhamisha upepo watu wachanganyikiwe… "
"Tuache nchi ipumue, watu waongee" amesema Mchungaji Anthony Lusekelo akizungumza tarehe 04 Septemba 2024 na wanahabari kuhusu masuala ya watu mbalimbali kupotea katika siku za hivi...
Njaa haina Baunsa na shida zisikie tu. Mzee wa Upako Antony Lusekelo ajisalimisha kwa kiboko ya wachawi Buza kupata huduma. Nani anamloga huyo mzee wa Upako? Laa dunia hii isikie kwenye radio.
PAPA FRANCIS ALISEMA: "Fikiria mama asiye na mume anayeenda kanisani au parokiani, na kumwambia katibu: NATAKA KUBATIZA MWANANGU, na mhudumu anasema: 'Hapana, huwezi, kwa sababu hajaolewa..."
Tukumbuke kwamba. Mama huyu alikuwa na ujasiri wa kuendelea na ujauzito - na ni kitu gani kilichompata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.