anuani za makazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Ngorongoro yaahidi kutenga bajeti ya elimu na miundombinu ya anwani za makazi

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro imeahidi kuanza kutenga bajeti sambamba na kuwashirikisha katika vikao, mikutano na shughuli nyinginezo Waratibu wa Mfumo wa Anwani za Makazi (NaPA) ngazi ya Wilaya ili kusaidia sekta zote kuona umuhimu wake. Ahadi hiyo...
  2. NGOSWE2

    Kuna aliyenufaika na huu mfumo wa post code (anuani za makazi) hapa Tanzania?

    Habari wana JF, Moja kwa moja nende kwenye swali langu hapo juu. Katika mtaa wetu tulibahatika kupitiwa na zoeli la anuani za makazi kama serikari ilivyotangaza. Na ni kweli tuliandishwa na kupewa namba na majina ya mtaa yaliyochaguliwa. Cha ajabu ni kwamba watu tumebaki na namba lakini...
  3. K

    SoC02 Anuani za Makazi zizingatiwe kuleta maendeleo

    ANUANI ZA MAKAZI SIO UREMBO, ZILETE MAENDELEO Tanzania kama nchi inayoendel inajitahidi kuleta mifumo nafuu Kwa watu Ili kuwasaidia katika shughuli zao Moja ya hiyo ni mfumo wa anuani ya makazi ambapo utekelezaji wake umefanyika mwaka huu kutokana na sera ya Taifa ya posta ya mwaka 2003...
  4. Analogia Malenga

    Anuani za makazi zilibajetiwa kutumia Bilioni 740 zimeshushwa hadi Bilioni 28

    Mkuu wa Idara ya Habari maelezo amesema zoezi la Anuani za makazi zilipangwa kutumia Tsh. Bilioni 740 lakini Rais Samia aliishusha hadi Tsh. Bilioni 28. Kutokana na bajeti wananchi wametakiwa kuchangia baadhi ya huduma ikiwemo huduma ya kuwekewa vibao ambapo tafiti zimeonesha wananchi wanalipia...
  5. polokwane

    Waziri Nape, mmeamua walimu na wanafunzi wafanye kazi ya anuani za makazi bure baada ya halmashauri kutafuna pesa za kuwalipa waliofanya kazi?

    Hebu soma maagizo hayo hapo chini Hello Gavanas naomba kupata taarifa kwa kila kijiji ambao tayari wameshafikishiwa Rangi za kuandika No za nyumba ktk mitaa yenu. Kazi hii ya kuandika no inatakiwa kufanyika kwa siku 2 tu yani Leo Ijumaa hadi Jumapili saa sita usiku ndio mwisho. Ushauri wangu...
  6. The Sheriff

    Huduma za Anuani za Makazi zinalipiwa?

    Wakuu, Nimekutana na hii stakabadhi mahali. Sina uelewa wowote kuhusu suala la malipo kwa huduma hii. Je, niandae buku tatu (3000) kwa ajili ya zoezi hili?
  7. Lanlady

    Ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi na kutoza kodi ya viwanja na nyumba. Je, wananchi wameandaliwa?

    Kwakuwa suala la maendeleo halisubiri muda, na kiongozi wa taifa Rais Samia alisema wazi kwamba hatuwezi kwenda tofauti na dunia inavyotaka. Swali lililopo kwa sasa, kuhusiana na ugawaji na ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi kwa ajili ya sensa; ni je, wananchi wamepewa elimu ya kutosha...
  8. P

    Tetesi: Mkakati wa upigaji wa fedha katika anuani za makazi

    Kuna taarifa kwamba upo MKAKATI wa makusudi wa upigaji wa fedha kwenye zoezi la anuani ya makazi 'postcodes' kwa baadhi ya wakurugenzi nguli, wabobezi , viburi na wasio na kwenye kutengeneza hila za wizi panapokuwa na fursa. Mbinu wanayo ipigia mkakati ni (1) kulipa pesa waajiriwa hewa ambao...
  9. Street Hustler

    Anuani za Makazi na Wakazi je inaweza kupatika/kutolewa sehemu ambazo hazijapimwa?

    Nimeshuhudia watu wakipita na makaratasi wakiwaambiwa wakazi wa eneo husika kuwa huu mtaa n mtaa flan na Kama Kuna njia wanasema n njia flan bila ya mwenyeji/wenyeji kujua Hilo jina limetokea wapi. Pili hiv inawezekana kutoa anuani bila ya kuwa umerasimisha makazi ya eneo husika? Mfano unakuta...
  10. Mmea Jr

    Zoezi la ukusanyaji wa anuani za makazi kwa Iringa litafanyika lini wakuu?

    Jamani mbaka mudaa huu tushaona hili zoezi likiwa limeshaanza sehemu mbalimbali nchini Tanzania, kama vile Dar es salaam, Dodoma, Mbeya, Kigoma, Morogoro, Shinyanga n.k. Huku halmashauri za mikoa na majiji zote zikitangaza nafasi kwa vijana ambayo wapo tayari na wanavigezo vya kufanya kazi ya...
  11. T

    Kwanini Malipo ya kazi ya anuani za makazi Ilala yawe ni kidogo sana?

    Habarini, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kiukweli nimefurahishwa na huu mpango wa anuani ya makazi na postikodi ambao kwa namna moja au nyingine litawezesha vijana kupata ajira hizo za muda mfupi. Kilichonisukuma kuandika ni kuona vijana watakaofanikiwa kupata kazi hizo kulipwa ujira...
  12. Z

    Mradi wa uwekaji wa Anuani za Makazi usimamiwe kwa weledi

    Pongezi nyingi sana kwa Serikali ya awamu ya 6 chini ya Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu kwa kuamua kufanya zoezi hili muhimu na nyeti kwa usalama wa nchi yetu lakini pia kwa uchumi wa Taifa kwa ujumla. Zoezi hili ni muhimu na nyeti sana, ni zoezi mtambuka kwani linagusa kila wizara, kila sekta...
  13. N'yadikwa

    Ujumbe kwa Waziri Ndugulile: Vibao vya anuani za makazi sasa liwe zoezi la lazima

    Waziri Ndugulile najua umechukua hii Wizara hivi karibuni. Baada ya kusimamia suala la vifurushi vizuri; nashauri sasa ugeukie Vibao vya Anuani za Makazi ili tuwe na mfumo rasmi wa utambuzi wa Makazi na zoezi hili liwe la lazima na liwe na vibao vya udongo inavyofanana kote nchini ili tuwe na...
Back
Top Bottom