anwani za makazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Jerry Silaa: Mfumo wa Kielektroniki wa Anwani za Makazi (NaPA) utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva

    Mfumo wa kielektroniki wa Anwani za makazi (NaPA) ambao una programu tumizi yaani ‘Application’ utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva ambapo kwa kutumia simu janja madereva wanaweza kupakua application hiyo itakayowarahisishia kumfikia mteja kwa haraka kwa kuwa...
  2. Roving Journalist

    Waziri Silaa asisitiza umuhimu wa Anwani za Makazi katika kurahisha utambuzi na utoaji wa huduma

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amesema kuwa utekelezaji wa mfumo wa Anwani za Makazi nchini umelenga kurahisisha utoaji na upokeaji wa huduma mbalimbali ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 06 Februari...
  3. Roving Journalist

    Waziri Silaa: Mfumo wa Anwani za Makazi (NaPA) Unasomana na Mifumo 13 ya Huduma Serikalini

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.), amesema wizara anayoiongoza imefanikiwa kuunganisha Mfumo wa Kidijitali wa Anwani za Makazi (NaPA) na mifumo mingine 13 ya kutolea huduma Serikalini. Waziri Silaa ameitaja baadhi ya mifumo iliyounganishwa na Mfumo wa...
  4. B

    Vivutio vya utalii 187 vyasajiliwa kwenye mfumo wa anwani za makazi (NaPA)

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (WHMTH) kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania-TANAPA, kupitia mradi wa Anwani za Makazi (NaPA) imefanikiwa kusajili anwani za makazi za vivutio vya utalii 187 na barabara zaidi ya 60...
  5. B

    Watendaji wa Kata, Vijiji na Mitaa waagizwa kuendeleza uhakiki anwani za makazi

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Mwl. Husein Bakari amewaagiza Watendaji wa Kata na Mitaa wa jiji hilo kutimiza wajibu wao wa kuendelea kuhakiki taarifa za Anwani za Makazi na siyo kusubiri oparesheni kama inayoendelea sasa jijini humo. Mwl. Husein ambaye pia...
  6. B

    Anwani za makazi zaidi ya 400,000 kuhakikiwa mkoani Arusha

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Zaidi ya Taarifa za Anwani za Makazi 400,000 zinatarajiwa kuhakikiwa katika Halmashauri Sita za Mkoa wa Arusha katika zoezi la Uhakiki wa Anwani za Makazi lililoanza rasmi Agosti 14 mwaka huu. Hayo yamebainishwa leo tarehe 15 Agosti, 2024 na Bw. Mulembwa...
  7. Pfizer

    Morogoro: Mfumo wa kielektoniki wa Anwani za Makazi NaPA (National Physical Addressing) umekuwa Kivutio

    WANANCHI MOROGORO WAUMWAGIA SIFA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA ANWANI ZA MAKAZI Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Morogoro. Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kutoa elimu kuhusu majukumu yake na huduma inazotoa kwa wananchi kupitia sekta ya Habari, Mawasiliano na TEHAMA...
  8. B

    Kwanini sensa ya watu na hii ya majengo hazikufanywa sambamba?

    Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya: Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi? Hivi makazi na majengo nini tofauti? kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja...
  9. A

    Serikali na Waziri Nape tupeni ufafanuzi kuhusu kuchangia Anwani za Makazi

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Swali kwa faida ya watanzania 🙏 Mh Nape Moses Nnauye/ Serikali kuna jambo linanitatiza hapa nadhani utanisaidia . Kuna hili zoezi la kuweka anuani za makazi Sasa na Wananchi wanachangishwa kwa viwango tofauti ili tuweze kupata anuani za makazi. Tena tumeambiwa...
  10. kavulata

    Anwani za makazi za aina hii tuseme wote hapana

    Anwani za makazi ni jambo jema lenye Nia njema. Lengo lake ni kutambua tunapatikana wapi ndani ya mitaa, kata, tarafa, wilaya, mikoa ndani ya Tanzania. Kila mkoa, wilaya, tarafa, kata, vijiji na mitaa ina majina yake maalumu ambayo kama ukiyataja kila mtu atajua ni la mkoa na wilaya gani...
  11. L

    Anwani za makazi: Nape anaupiga mwingi

    Haya ndo matokeo ya ziara ya Nape kwa kutumia chopa kukagua zoezi la anwani za makazi
  12. Abdul Nondo

    Kifungu cha 3.9 cha Muongozo wa Anwani za Makazi kinatumika vibaya

    Kifungu hiki nimeakiambatanisha chini kinazuia watu walio katika hifadhi,mabondeni,Pembezuni mwa eneo la Barabara na maeneo mengine yanayoitwa hatarishi kutotakiwa kuwekewa anwani za makazi .Matokeo yake kifungu hiki kimekuwa kikitumiwa vibaya na hivyo hata wakazi wenye haki ya kupewa anwani za...
  13. Mparee2

    Anwani za makazi - maoni

    Utaratibu wa kuwa na anwani za makazi ni jambo jema sana; Napongeza sana Serikali yangu hata hivyo ninamapendekezo yafuatayo; 1. napendekeza kuwe na nyongeza ya kuelekezwa namna ya kuandika anwani baada ya kupata namba kwenye Nyumba; Mf: utakuta nyumba imeandikwa #46 sinahakika nikisema Naishi...
  14. mwanamwana

    Waziri Mkuu Majaliwa aagiza uhakiki wa vibao vya majina ya mitaa katika anwani za makazi ili kuepuka makosa ya maandishi

    Majaliwa ameyasema leo Ijumaa Mei 6, 2022 wakati akizindua mradi wa Afya yangu unaofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Amesema kazi ya maandalizi ya sensa ya watu na makazi inaendelea nchini ambayo inaenda sambamba na anwani za makazi. Majaliwa amewataka...
  15. L

    Anwani za makazi kazi iendelee

    Waandaji wa vibao vya anwani za makazi waupiga mwingi
  16. J

    Wizara yaendelea kuifikia mikoa isiyofanya vizuri anuani za makazi

    WIZARA YAENDELEA KUIFIKIA MIKOA ISIYOFANYA VIZURI ANWANI ZA MAKAZI Mkoa Wa Singida Wapewa Siku Nane Kujinasua Kabla Ya Uhakiki SINGIDA Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla ametoa siku nane kuanzia tarehe 27/4/2022 hadi tarehe...
  17. JanguKamaJangu

    Mwanza: Walimu 250 waandamana kudai malipo ya kazi ya anwani za makazi

    Walimu 250 kutoka Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wameandamana hadi ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza kudai posho zao za kazi ya kuweka alama za anwani za makazi waliyoifanya kwa siku tano. Watumishi hao waliandamana jioni ya Aprili 8, 2022 ambapo malipo hayo ni Sh 100,000 kwa siku tano...
  18. Z

    Zoezi la Ugawaji wa Anwani za Makazi bado linasuasua

    Licha ya Viongozi kusisitiza kuharakisha na kukamilika kwa zoezi la Ugawaji wa Anwani za makazi ifikapo mwezi Mei mwaka huu 2022 lakini uchunguzi umebaini bado zoezi hilo linasuasua ktk baadhi ya maeneo mengine ktk Jiji la DSM. Ikumbukwe zoezi hili ni muhimu sana kwa Taifa letu hivyo ni muhimu...
  19. Frustration

    Nipo live eneo la usahili anwani za makazi na postikodi

    Wakuu kama mada hapo juu. Tumefika saa mbili lakini zoezi linaendelea hadi mda huu. Wanataka imei number na wamesisitiza hawataki simu za shangazi uje nayo leo na siku za kazi unakuja nq samsung yako s2. Uhakika wa chaji kutunza ndio msingi wa zoezi
  20. Roving Journalist

    Tanganyika na Zanzibar kutekeleza kwa Pamoja Anwani za Makazi

    TANZANIA BARA, ZANZIBAR KUTEKELEZA KWA PAMOJA ANWANI ZA MAKAZI  Utekelezaji Tanzania Bara wafikia 3% na Zanzibar 7%  Ifikapo Mwezi Mei, 2022 utekelezaji unahitajika ufike 100%  Anwani kupatikana kwenye programu tumizi maalum ya TEHAMA ya NaPA  Kutekelezwa kwa Shilingi Bilioni 28...
Back
Top Bottom