Listen to Doechii - Anxiety
Doechii keeps her ear (and face tape) close to the ground, and what the Swamp wants, the Swamp gets. She finally released her 2020 track “Anxiety” on streaming services on March 4, after the song went viral on TikTok in February.
The track is built on an...
Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi.
Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika...
Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania wanaoshtua yaani kutumia kilevi ( pombe) ili kuchangamka Na kuongeza confidence, nilikuwa nikitumia pombe kwa kiasi kikubwa kesho yake Basi naamka Na huzuni au mapigo ya moyo muda mwingine yanakuwa yanapiga kwa Kasi sana..ukiniona huwezi kujua kama...
Salaam wataalamu wa afya. Kama kichwa kinavyoelekeza naitaji msaada kuhusiana na anxiety disorder. Kwamba niwapi nawezafanyiwa diagnosis na gharama zake.
Happy New year 2021 everyone . Hope this year comes with blessings and happiness . Reflecting last year events , today I've decided to talk about Nervous Breakdown .
Make 2021 the year you prioritize your mental health, it's one of the most rewarding things you'll do and something that...
Please share to raise awareness – the end of the year can be a particularly difficult period for many people.
It’s so important we learn these signs to help identify those at risk.
The more aware we are of these signs and the quicker we are to spot them, the more enabled we will be to give the...
Wakuu kwenye matatizo ya kisaikolojia kuna ishu inaitwa anxiety na panic attack. Mara nyingi huenda pamoja.
Anxiety ni hali ya kuwa na wasiwasi au uwoga uliopitiliza, usioendana na hatari. Sometimes bila sababu yeyote. Hii inaweza kupelekea mtu ukashindwa kufunction. Inaweza kutokea mtu ukiweka...
MH LISU ANA TATIZO LA ANXIETY DISORDER?
Na Elius Ndabila
Anxiety disorder kwa kiswahili ni Ugonjwa wa Wasiwasi(ugonjwa wa Mashaka mashaka). Nieleweke kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo la kawaida kwa mwanadamu, hivyo kwa sababu wasiwasi ni jambo la kawaida, ni mhimu kutofautisha baina ya kuwa na...
Kama ni udongo Mungu kaumba basi mimi ni udongo wa mwisho kabisa tena mfinyanzi/ tifutifu.
Niombe radhi kwa aina ya uandishi mbovu, nitakayoandika hapa maana ni matokeo ya anxiety.
Mimi ni kijana mwenye umri 29, ambaye mpaka sasa siwezi kujieleza, sina confidence, sijui kipaji changu, sina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.