aondoka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya

    Msanii Nasib Abdul, also known as Diamond Platinumz ameondoka uwanjani kwenye tamasha la Furaha Festival bila kutumbuiza baada ya kutokuwa na maelewano kati ya uongozi wake na waandaaji wa Tamasha hilo. ============================================== Diamond Platinumz yesterday he refused to...
  2. Diamond aondoka bila kuperform Kenya

    Diamond alikuwa na Show ya ku-peform kwenye Show ya Raha-festival huko Kenya 🇰🇪, Ambapo Diamond, alisusa na kukataa ku-peform kutokana na kutokuwa na Maelewano kati ya yeye na waandaaji wa Tamasha hilo. Fungua video kupata mkasa mzima Wasanii wetu ni budi wakajihafhari sana...
  3. Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar aondoka Gaza akiwa amevaa kama Mwanamke

    Jana Yahya Sinwar ameondoka Gaza akiwa amevaa Hijab --- Hamas leader Yahya Sinwar has been hiding among Palestinians “dressed as a woman” after abandoning Gaza’s terror tunnels, Israeli intelligence sources said last night. The architect of the October 7 atrocities was already a target on...
  4. Pochettino aondoka Chelsea mwaka mmoja tangu aanze kuinoa klabu hiyo

    Kocha Mauricio Pochettino (52) aliyesaini kandarasi ya kuinoa Chelsea kwa miaka miwili, anaondoka Klabuni hapo kwa makubaliano ya pande zote ikiwa ni mwaka mmoja tangu aanze kuinoa Klabu hiyo ya Magharibi mwa London Klabu hiyo yenye Makazi yake katika Dimba la Stamford Bridge inatarajiwa...
  5. DJ D Ommy aondoka Clouds

    Pia Soma: Tetesi: - Kuna Redio inawamendea B12, Adam Mchomvu na DJ D Ommy
  6. B

    Washindi watatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ wapatikana, Mmoja aondoka na Bajaji

    Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB ilizindua msimu wa tatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ na kutenga jumla ya zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 470 kwa wateja wake mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
  7. Ukata na Uswahili: CEO Andre Mtine aondoka Yanga

    Baada ya kumtambulisha kwa mbwembe, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga Andre Mtine abwaga manyanga. Sababu za kuondoka kwake ni uswahili uliopitiliza wa Rais wa klabu hiyo Hersi. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, Rais anaingilia mipaka mpaka majukumu yanayopaswa kufanywa na Mkurugenzi. Mtine ni...
  8. Rais Samia aondoka Nchini kwenda DR Congo leo Agosti 16, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Dar es Salaam wakati akielekea Jamhuri ya Kidemokraisa ya...
  9. Nancy Pelosi aondoka Taiwan

    Hatimaye mwanasiasa wa ngazi ya juu wa marekani ameondoka Taiwan mchana huu. Ziara ya Pelosi ilileta gumzo duniani kote na kufuatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni kote. China imeachwa na kitendawili nini cha kufanya baada ya mwanasiasa huyo kutua salama salimini licha ya vitisho vyote vya...
  10. Bundi atua kibabe kwenye dirisha la Madrasa huko Zanzibar. Aondoka na karatasi ya majina.

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya.... Huko Zanzibar ndege bundi aliyekuwa amevalia nguo zake zote za medani za kivita alitua kibabe kwenye dirisha la madrasa na kuwafanya wenyeji kustaajabishwa mno na ustadi alioutumia ndege yule kufanya matukio aliyoyafanya. "...anabonge la hirizi...
  11. Ondoka kabla hujaondolewa kwa aibu

    ONDOKA KABLA HUJAONDOLEWA KWA AIBU Anaandika, Robert Heriel Dunia ndivyo ilivyo, ONDOKA! Usisubiri AIBU! Dunia haitaki watu wanaosubiri. Dunia haitaki watu wasiojiongeza. Usipojiongeza dunia itakuongeza. Ondoka usisubiri. Mchana huondoka na kuuacha usiku, nao usiku huondoka kuuacha mchaña...
  12. Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

    Kupitia ukurasa wa Wasafi Fm huko Instagram, wametangaza Maulid Kitenge ameondoka rasmi Wasafi Fm kuanzia leo sio tena mtangazaji wa kituo hiko!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…