Siyo mpenzi sana wa kufuatilia wala kuongelea maisha binafsi ya mtu ila hili naomba nitoe kama angalizo kwa muhusika tajwa ila inaweza kufaidisha na wengine.
Mwijaku amekuwa na tabia ya kupost video akiwa huko ughaibuni. Nakumbuka video zake kule Ivory Coast kwenye AFCON kama kumbukumbu zangu...
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo ametoa msaada wa gari la kusafirisha mwili wa marehemu kwa wanajimbo wake.
Hata hivyo, wana Arusha wameuponda msaada huo huku wakihoji kwa nini asipeleke madawa au magari ya Ambulance, na baadhi wametafsiri kwamba huo ni uchuro.
Mmoja ya wachangiaji katika...
Wanasema mafanikio ya mwanadamu yapo kwenye taarifa au connection Sasa wana Jf Mwenye utayari wa kuzungusha pesa yake ndani ya muda mfupi aweze kurudisha pesa yake na kuamua kuendelea au lah namuhitaji.
Ninahusika nakuingiza Bidhaa flani kutoka Kenya kuja Tanzania soko la hzo Bidhaa lipo na...
Hapa leo tuelewane, maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja.
Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli.
Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya barabara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.