apandishwa cheo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Greatest Of All Time

    Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

    Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI. Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena...
  2. U

    Barbara Banda apandishwa cheo kuwa staff sergeant kwa kuiwezesha timu yake kufuzu Olympic 2024, Paris

    Apandishwa cheo kuwa staff sergeant kwa kuiwezesha Zambia kufuzu Olympic 2024 Paris. Wadau hamjamboni nyote? Barbara Banda mchezaji timu ya Taifa Wanawake Zambia amepandishwa cheo na Jeshi la nchi hiyo na kuwa Staff Sergeant baada ya kuiwezesha timu yake kufuzu kushiriki mashindano ya Olympic...
Back
Top Bottom