Wadau habari zenu, bila poteza muda naomba msaada wa sehemu ambayo nitapata apartment ya kulipia mtu anakaa siku3 tu. Hapa DSM kuna zile apartment mtu anaweza kodi kwa siku kazaa then anasepa.
Maeneo yawe mazuri kama Upanga, Masaki, Mikocheni, Mbezi beach nk. Mtu nakuja na family akiwa na mke...