Baada ya Canada kujibu vikwazo vya ushuru vilivyoweka na Trump kwa kuongeza kiasi cha ushuru katika umeme wanaoiuzia Marekani Trump amekuwa mbogo akiuliza kwa nini Marekani inanunua umeme kwa nchi yoyote na na nani alifanya hayo maamuzi!
Wadau hamjamboni nyote?
Itamar ben gvir ni waziri wa usalama Israel na Kiongozi wa chama cha Otzma Yehudit
Anapinga makubaliano kusitisha vita na Hamas akidai Hamas watanufaika zaidi kwani magaidi 1,700 wataachiwa huru na hivyo kwenda kujipanga upya
Asema kuwa makubaliano haya yanafuta...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekanusha vikali kauli ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, inayodai kuwa vyama vyote vya siasa, ikiwemo CHADEMA, vilishirikishwa na kukubaliana na taratibu...
Kiongozi wa Upinzani chini ya Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga amekosoa shinikizo la Waandamaji wanaotaka Rais William Ruto ajiuzulu akieleza hatua hiyo haitakuwa na mabadiliko yoyote katika Serikali.
Akizungumza na Wabunge wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM)...
Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha.
---
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema...
Haji Manara amekuwa Mtanzania wa kwanza kuongea mbele ya umma na kuonyesha kutofurahishwa na suala la Wachambuzi wa michezo kupewa mafunzo na kusomea fani hiyo.
Ameandika Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram,
"Hivi hii nchi tumerogwa na nani? Yaani tuache kushughulikia Vipaumbele vya...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amekosoa hatua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutaka kufanya maandamano kupinga miswada ya sheria za uchaguzi na ugumu wa maisha akisema ni dalili ya kupungua kwa uvumilivu nchini.
Wasira amesema hayo leo Januari...
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora mjini Bw. Komanya Erick Kitwala apinga uamuzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumstaafisha bila kumpa sababu .
Kesi aliyofungua Komanya Erick Kitwala ilisikilizwa mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo pia Komanya Erick Kitwala anataka arudishwe...
Hatua ya Rais Hussein Mwinyi kumteua Thabit Idarous Faina kuwa mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ambayo ilikosolewa na Chama cha ACT Wazalendo kilichopendekeza asiapishwe, imekichanganya kiasi cha kuitisha mkutano wa dharura kujadili hatua za kuchukua.
Kikubwa kinacholalamikiwa na...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Paul Kihara Kariuki amepinga madai ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati kuwa Maafisa Wakuu Serikalini ambao ni Wajumbe wa Baraza la Usalama la Taifa walijaribu kumshinikiza kutomtangaza William Ruto kuwa Rais Mteule.
Mwanasheria Mkuu pia...
Tchize dos Santos, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Eduardo dos Santos amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Hispania iliyoagiza mwili wa Eduardo ukabidhiwe kwa mjane wake, Ana Paula ili urejeshwe Angola kwa maziko.
Dos Santos aliyeshika madaraka 1979-2017 alifariki Julai 8, 2022...
Maafisa wa FBI waliopekua nyumba ya Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump iliyopo Florida maarufu kwa jina la Mar-a-Lago wamedai kupata nyaraka 11 za siri, zikiwemo ambazo zilistahili kupatikana katika vituo maalum vya Serikali.
Upekuzi huo ulitokana na tuhuma za ukiukwaji wa Sheria ya...
Russia-Ukraine live news: Zelenskyy slams UN chief’s Russia visit
Ukraine’s president says ‘there is no justice and no logic’ to Antonio Guterres’s decision to travel to Moscow before he visits Kyiv.
Ukraine's President Zelenskyy attends a news conference at a metro station in Kyiv [Gleb...
Mmiliki wa kampuni ya Tesla, Elon Musk amesema kulazimisha watu kupata chanjo si sahihi
Yeye amepata chanjo lakini haitakiwi kuwapotezea wengine kazi zao
Suala la kulazimisha chanjo ameliita 'un-American' yaani sio Umarekani
===
Musk: "I am against forcing people to get vaccinated"
The...
Kupitia ukurusa wake wa Twitter Humphrey Polepole amepinga chanjo ya Maralia iliyoidhinishwa na WHO kwa kusema kuwa haiaminiki na kuwataka walioitengeneza waseme inafanyaje kazi kwenye miili ya watu.
Chanjo hiyo imekuwa ikifanyiwa utafiti kwa miaka kadhaa na WHO imeshauri nchi zinazokabiliana na...
Katika mahojiano yake na Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kipindi cha mizani ya kisiasa, wakat akichangia Professor COSTA MAHALU alieleza kuwa suala la Katiba linaweza kuwa si la muhimu kutokana na wananchi walio wengi kutokuwa na ufahamu juu ya KATIBA, ambapo alieleza kuwa "Kati ya...
Jenerali ulimwengu ambaye ni mwanahabari nguri amepinga vikali hatua ya kumpa Rais Samia Suluhu siku 100 za kumjadili.
Amesema kwanza hatupaswi kutumia njia hiyo sababu ni njia ambayo wamarekani ndiyo wanaitumia kwa viongozi wao iweje na sisi tuige wakati hatuya simamii malengo yetu.
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.