apongezwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kijana John Mnyika apongezwe kwa uzalendo wake!

    Katrika watu kwenye nchi hii ambao wanahitaji pongezi ni John Mnyika. Hana skendo ya rushwa na kila kwenye mijadala mikubwa ya Chadema anakuwepo. Endapo Mbowe akishidwa mtu ambaye anaweza kuhakikisha hakuna hujuma kwenye Chama kwasababu ya ego za watu wa Mbowe ni John Mnyika. Huyu ni mtu...
  2. C

    Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

    Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao. Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
  3. Mudawote

    Christina ni Mwanamke Shujaa, apongezwe

    GTs, Nimekuwa nikiona wana jukwaa mnavyomsema vibaya Christina kisa kuachana na mume wake Mzee Shusho. Wengi wenu ni wanaume ambao hamjui hali aliyoipitia Christina ktk maisha yake ya kuolewa ktk umri mdogo. Historia ya Christina inawakilisha kundi kubwa sana la wanawake ambao wazazi wao...
  4. I

    RPC wa Mbeya apongezwe kwa kusimamia vema maandamano ya Chadema na ziara ya Biteko

    Hakika RPC wa Mbeya anapaswa kupongezwa kwa kuepusha maafa ambayo yangeweza kutokea leo mjini Mbeya kama angemuendekeza RC Homera na DC Malisa. Aidha pongezi ziwaendee viongozi wa Chadema kwa uimara wao wa kuhakikisha hawatetereki katika msimamo wao wa kufanikisha maandamano na waandamanaji kwa...
  5. S

    Huyu Kamanda wa usalama barabarani apongezwe

    Iwe fundisho kwa madereva wengine.
  6. Rashda Zunde

    Rais Samia apongezwe kwa hatua anazochukua, ni dhahiri kwamba mama yuko kazini

    Serikali ya Awamu ya Sita imesimama imara katika kutafuta fehda za miradi mbalimbali ya maendeleo, hivyo juhudi hizo zinapswa kulindwa maendeleo yapatikane kwa haraka katika jamii. Uwepo wa ubadhirifu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasiokuwa waaminifu kama alivyobainisha CAG kupitia ripoti...
  7. S

    Baba Majaliwa apongezwe. Ilikuwa ni lazima baba yake aikimbie familia ili kijana Majaliwa awe shujaa

    Babake Majaliwa anastahili pongezi nyingi sana kwa kutuletea shujaa. Kitendo cha huyu babake Majaliwa kuukimbia familia ndiyo kimepelekea Majaliwa kuishi kwa shida hivyo kujengeka na kuwa shujaa. Watoto wengi wanaolelewa na wazazi wawili huwa ni walegevu na wasio na tija ktk jamii. Huishia...
  8. M

    Songwe: Waziri Kindamba apongezwe kwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa kwanza Tanzania kutambua Mifugo katika halmashauri zake zote

    Wasalaam JF, Mkoa wa Songwe wenye halmshauri tano za Tunduma, Momba, Mbozi, Ileje na Songwe ndio Mkoa pekee nchini unaondesha zoezi la Utambuzi wa Mifugo kielekroniki katika halmashauri zake zote. Wakati baadhi ya mikoa ikiwa haijaanza kabisa Utambuzi huu wa Mifugo, Mhe Waziri Kindamba Mkuu...
Back
Top Bottom