app developer

  1. Jay_255

    Natafuta mtu mwenye application yoyote playstore ila aliitelekeza kwa kuona haimlipi

    Habari, kama wewe ni android developer na una account ya google console ambayo umeifungua kabla ya mwaka 2023. Nina uhitaji wa google console account / play store developer account. Njoo pm please
  2. African Geek

    Framework gani ya backend inafanya uwe productive zaidi? Laravel / Django

    Ukiachana na serverless backend kama Firebase, Supabase, etc. Ni Framework gani inamfanya developer awe productive zaidi kati ya Laravel na Django? Binafsi, huwa natumia Node js kufanya backend lakini pia nimefanikiwa kutumia serverless backends (Firebase &, Supabase). Changamoto kubwa ya node...
  3. Kuchwizzy

    Natoa huduma za Website and Mobile Application Development

    Price yangu ni affordable na ya makubaliano. Nina Business Centric Approach, yenye lengo ya kuipush idea yako ifanikiwe kwenye market ikiwemo na ushauri wa bure jinsi gani inaweza fanikiwa. Technologies ninazotumia; 1. Laravel (version 6 up to 8) 2. Vuejs(Version 2 up to 3) 3. Database(Mysql)...
  4. KingOligarchy

    Nahitaji flutter App Developer

    Habari wanajamvi, Natafuta Flutter App developer wa kutengeneza 1. Main App 2. Partners app 3. Admin panel Hzo app mbili (moja ni kwa ajili ya users, yapili ni kwa ajili ya Partners , kama Uber na uber ya madereva) Design za App zote ziko tayari, Ni kuandika code TU. Maelezo mengine...
  5. A

    App developer needed

    Experienced app developers needed, you must be able to create a complex system yet maintainable that will involve some complex programming. High priority will be given to those who employ the use of block chain tech in programming. DM with your experience and CV Deadline for application 15...
  6. Cards Fantasy

    Nahitaji App developer au kampuni ya kutengeneza App

    Habari za leo wanafamilia. Nahitaji App developer au company inayodeal na utengenezaji wa Apps. Nna mfadhili anataka kunipa support kwenye app yangu. Mimi ni Muanzilishi wa Kuku Care Tanzania. Tunauza herbs na spices Maalum za kutibu na kukinga magonjwa mbalimbali ya Kuku, kupandisha...
  7. K

    App developer wa Tanzania kuweni serious basi

    ninalazimika kuanzisha huu Uzi baada ya kupoteza muda wangu kudownload App ya dogo mmoja wa kitanzania inaitwa ILAPESA nikili dogo kaja na wazo zuri lakini namna alivyoharakisha kutengeneza app yake inawafanya walioidownload waache kuitumia au waifute kabisa kama nilivyofanya mimi App iko...
Back
Top Bottom