Gwala kwa wana "Jf" wote, matumaini yangu majukumu yetu binafsi yanasonga ipasavyo.
Niende kwenye moja kwa moja kwenye mada husika, hivi karibuni nimeingia kwenye sekta ya android application design. Katika kuanza anza nimeanza kwa kujifunza p-l ya Java kama backbone ya programming kwa apps...