Wakuu,
Hii application ya GePG imekua ni kero kubwa sana kwa watumiaji wanaotaka kulipa bills mbalimbali, kama unaifuatilia playstore ukisoma comments utaona criticisms ni nyingi kuliko appreciations nimejaribu mara kadhaa kutaka kulipia kodi ya ardhi lakini kila nkiweka details inaleta...