Ni kupitia Apps za mikopo mtandaoni.
Nimekuja na strategies maalum sana kwa hizi kausha damu za Online
Mbinu nitakazotumia
1. Nimesajili Simcard Ya Vodacom maalum kwa ajili ya kukopea tu.
2. Nimetumia hio Simcard kuwasiliana na watu maalum ambao hawanifahamu, na nimesev majina yao.. hapo ni...
Mnaendeleeja ndugu zangu watanzania,
Rejea kichwa cha uzi hapo juu, kwa masikitiko napenda kuwaambia huu ukweli , watanzania wengi sio waaminfu linapokuja suala la kukopeshwa .
Hizo apps zisingekuwa zinawadhalilisha kama mngekuwa mnalipa, kwanza mda wa marejesho mnakubali wenyewe ila baadae...
Shemeji yangu amemuoa binamu yangu, na wanaishi mkoani. Kaja Dar kufuatilia issue zake kadha wa kadha.
Kwa bahati mbaya siku chache alipata ajali ya pikipiki, amevunjika mguu na Leo kaingizwa chumba cha upasuaji.
Vitu vyake vimekabidhiwa kwangu kwani matibabu yake nayasimamia Mimi, MKE wake...
Hivi sasa kumekuwapo na utitiri wa APPS za mikopo mitandaoni ambazo kwangu naamini ni za kitapeli na au zitaleta utapeli.
Apps hizi hazina usajili Wala address ya uhakika.
Wengine wanakuambia ingiza pesa ya usajili kiaasi kadhaa kwa mujibu wa kiwango unachotaka kukopa,Kisha ukisha tuma ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.