apumzike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Dube sio level ya kimataifa. Ni bora wacheze Mzize na Musonda kama washambuliaji. Dube apumzike

    Hii ni fact Dube kaja kuirudisha yanga nyuma
  2. imhotep

    Wimbo mpya wa kumtaka Mbowe apumzike

    https://youtu.be/wotqcW18b80?si=NFAt1ArFxLTbV80L Wakuu, Mbowe kachokwa na Wanachama na Watanzania kwa ujumla, sijui ni kwanini hasomi alama za nyakati?. https://youtube.com/shorts/N_2vsS8I9r0?si=zsAT7UMXzF9JhWzB
  3. technically

    Pre GE2025 Ingependeza Rais Samia apumzike 2025

    Nashauri Rais wetu mpendwa angepumzika by 2025 baada ya kumaliza utawala wa mpito aje Rais mwengine by 2025/2030. Kulingana na ukweli kwamba Rais wetu ametoka katika jamii zinazokumbatia Sana mfumo dume hivyo amekuwa akisaidiwa na mawazo ya watu wengine ambao hasa ni wanaume hivyo kuonekana...
  4. Tlaatlaah

    Nashauri makamu mwenyekiti CHADEMA apumzike tu siasa, yanini kujilazimisha na haiwezekani kamanda?

    Anatia huruma sana for sure. Ni ngumu kwake, lakini anajaribu kua jasiri kuonyesha ni rahisi kwa namna ambayo haimpi ahuweni wala faida ya kisiasa, nadhani anajiumiza zaidi na kujiongezea udhaifu. Succession plan ichukue mkondo na nafasi yake kuimarisha ustawi wa Chadema ijayo sasa. Upo...
  5. britanicca

    Je, Waziri Masauni apumzike? Akipumzika ndio Mwisho wa haya?

    Najiuliza uwajibikaji uko wapi? Ingekuwa nchi Kama Tunisia na Kenya au kwingineko kosa dogo tu linaondoa baadhi ya watu madarakani si kwa utashi wao!bali kwa Nguvu ya Umma na maandamano! Lakin hapo kwenye Kondoo wa Kiboko ya wachawi hata uwakojolee midomoni kila asubuhi Utasikia yote twamuachia...
  6. T

    Kuuliza si ujinga, Mtu akifariki watu wanasema Apumzike kwa Amani huwa wanamwambia marehemu au wanamaanisha nini?

    Wakuu ni aje, Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani. Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa wanamaanisha nini? Au ni tamaduni tu kama vile kunywa chai asubuhi japo hata usippkunywa haufi! Wajuzi...
  7. Mganguzi

    Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

    Umekosa hoja ! Umekosa mvuto, Hauna dira yoyote ! Kama Kikwete kusafiri na Samia wewe unaumia, kasafiri nae wewe!? Kikwete hapangiwi na wewe mahali kwa kwenda wala Samia hapangiwi na wewe anatakiwa kusafiri nanani! Stress za maandamano kukosa mvuto na wafuasi usiziamishie kwa JK wetu ! Hapo...
  8. R

    Tuache upotoshaji Expo 2020 Dubai ilifanyika 2021 mwishoni, Tumuache Hayati Magufuli apumzike hili ni la kwetu

    Habari JF, kuna picha hii ilianza kusambaa siku chache zilizopita baada ya Prof Kitila kuukwaa uwaziri nkajiuliza nini dhumuni, nikagundua moja ilikuwa ni kuonyesha umma kitila alihusika na DPW la pili ambalo sio kweli ni kwamba lilianza kwa JPM 2020 kitu ambacho sio kweli. Maonesho ya Expo...
  9. Ali Nassor Px

    Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

    Based on a true story. CHAPTER 1 Zamani kidogo kipindi iko nipo A - level form 5 naelekea form six ile likizo kubwa nilienda kwa Mama likizo mkoa X. Mama anaishi mkoa X ila mimi naishi na dada Dar es salaam. hivyo mara nyingi likizo naendaga Dar es salaam. Huko nilikaa kwa amani tu ila balaa...
  10. F

    Mwalimu Nyerere na Mkapa wamepumzika kwa amani, kwanini Magufuli haachwi apumzike kwa amani?

    Viongozi wetu wakuu waliokwisha kutangulia kama Mwalimu Nyerere na Mkapa wanaonekana “kupumzika kwa amani”, lakini yupo mmoja wao John Magufuli anayeonekana kutoachwa “apumzike kwa amani”. Je, Kuna nini nyuma ya jambo hili la kihistoria? Kwa mtazamo wangu Nyerere na Mkapa (kwa kiwango kikubwa)...
  11. O

    EDO KUMWEMBE: Apumzike kwa amani Iddy Mobby, kisha tujitafakari

    Aliondoka kwao akiwa kijana mwenye ndoto njema. Ndoto ya kutokuwa tapeli wala kibaka. Ndoto ya kucheza soka. Naamini aliondoka kwao akiwa hajaenda sana shule. Usishangae, hata wanasoka wa Ulaya huwa hawana muda wa kwenda shule. Wanaishi kwa kuzitumikia ndoto zao za uwanjani na wanafunga vitabu...
  12. T

    Mwacheni Hayati Magufuli apumzike narudia tena mwacheni apumzike

    Hakuna mtu ndani ya system hajuwi Nini kilitokea na Nini kitatokea siku zijazo. Hayati Magufuli amelala na hawezi rudi kuja kujitetea. Kama alifanya kwa masilahi yake mtuambie kulebungeni wamejaa akina nani? Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie vyama vya siasa hivi vinaudwa na nani ? Kama...
  13. Peculiar

    Mandonga apumzike ngumi kwa muda, kama atashiriki ahusike kama MC

    Kwanza nianze kumpongeza kwa anachokifanya,si kwamba nampongeza kwa kupigwa pigwa la,ila kwa kutumia fursa.waswahili wanasema "bahati haiji mara mbili" na "mungu akitaka kukupa hakuandikii barua" Mandonga licha ya kupoteza kwa kupigwa kwa aibu katika mapambano yake.bado hajawahi kuonesha...
  14. technically

    Ushauri: Rais Samia apumzike Urais 2025

    Kwa mtazamo wangu binafsi napendekeza Rais wetu Mama Samia apumzike mwaka 2025 kama analo wazo la kuendelea kutuongoza. Kwanza niseme wazi Mama ni moja ya Marais bora kabisa kuwai kutokea katika taifa letu. Sijawai kusikia kashifa yeyote ya wizi na ufisadi kutoka kwake, ni Rais mwadilifu kweli...
  15. Pascal Mayalla

    Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE...
  16. K

    Nape Nnauye samehe na kusahau, mwache Hayati Magufuli apumzike

    Jana nilikuwa jimboni Mtama, sehemu ambayo mwakilishi wake kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nape Moses Nnauye mwanasiasa kijana aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM na Waziri wakati fulani. Akiwa kwenye mikutano yake kwa wapiga kura wa Mtama, jioni ya jana ilikuwa zamu ya Nyangao...
  17. J

    Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

    Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa. Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli. Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Back
Top Bottom