Nimemsikiliza Mbowe kauli zake ktk hotuba aliyo itoa nafikiri sio yeye aliye iandika ametumika kama spika.Navyo mfahamu huko nyuma kariba yake jana nimewaza tofauti kabisa na nilivyo muheshimu japo bado namuheshimu.
Kwanza Mbowe anasema ameamua kugombea kwa kuwa hajaona mtu sahihi wa kuiongoza...
Kama ni uganga basi huyu mwamba mganga wake hatari, ukitizama work rate yake, unyumbulifu yaani jamaa anaonekana kachoka haswaa, one vs one battle anashindwa sana.
Kila mwenye macho anaona mwenyewe.
Wakuu nawasalimu kwa jina la muumba wetu sote.
Nimejaribu kuwaza tu kuhusu umri wa mama Maria Nyerere na haya matukio ya kiserikali tukizingatia na hali ya hewa ya huu ulimwengu kwa sasa naona ingekuwa vema tu kukampumzisha maana ni hafla ashahudhuria nyingi mno, kwa sasa anastahili kutulia...
Japo havijaanza leo lakini vitendo vya rushwa, kubambikia kesi na uonevu kwa raia chini ya IGP sirro vimekithiri ukilinganisha na miaka ya nyuma
Kukithiri kwa vitendo hivi ni kiashiria kwamba IGP sirro ameshindwa kudhibiti nidhamu ndani ya jeshi la polisi na hivyo kupelekea utendaji mbovu wa...
Wana JF
Nawasalimu wote
Nianze kwa kusema mimi sio Mganga wala Nabii ila ninenayo ndiyo ukweli unaotokana na uhalali wa hatimiliki kwa mujibu wa maagano.
Hizo namba tajwa hapo juu yaani 2 na 3 zina wenyewe ila bahati mbaya tu kipindi hiki kifupi wenyewe wamezikosa bila kutarajia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.