arab contractors

The Arab Contractors (Arabic: المقاولون العرب), also known as Al Mokawloon Al Arab, is an Egyptian regional construction and contracting company.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Ahsante Mungu, Arab Contractors walikuja kipindi Cha JPM; Wangekuja kipindi Cha Samia hakika ingekuwa shida kubwa.

    Ni wajomba zake kutoka Oman ndo maana wamepata.........,.... Hapo amewaleta makusudi wajomba zake hao Ili wavune na wanyama wetu pia............. Nchi inauzwa hii.................... 2025 arudi kwao kizimkazi atuachie Tanganyika yetu.............. R.I.P JPM......n.k Ahsante sana Mungu, hakika...
  2. KUMBUKIZI: Mpina aliwahi kutoa mapendekezo Makamba, Maharage Chande, Bodi ya TANESCO washtakiwe kwa makosa ya Uhujumu Uchumi

    Akiwa anaongea na waandishi wa habari Mpina amesema amepeleka mapendekezo yake kwa Mwenyekiti wa Kamati ya PAC pamoja na kwa Spika akiomba aliyekuwa Waiziri wa Nishati January Makamba, aliyekuwa Mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande, Bodi ya TANESCO na Mkurugenzi wa kampuni ya Arab Contactors...
  3. Arab Contractors wakabidhiwa Billion 688.6 kama malipo ya awali mradi wa umeme wa maporomoko ya mto Rufiji

    Serikali yakabidhi mfano wa hundi ya shilingi bilioni 688.6 kwa kampuni ya Arab Contractor kwa ajili ya kuanza ujenzi wa mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya mto Rufiji. Mkandarasi ujenzi Mradi wa Maporomoko ya Mto Rufiji Kampuni ya Arab Contractors ya nchini Misri imekabidhiwa hundi ya...
  4. K

    Serikali yakabidhi eneo la mradi wa Umeme wa Maji mto Rufiji kwa mkandarasi tayari kwa kazi kuanza

    SERIKALI imekabidhi rasmi eneo la mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (RHPP), kwa mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kwa pamoja na ile ya Elsewedy Electric zote kutoka nchini Misri. Hatua hiyo sasa inaashiria kuanza kwa kazi ya ujenzi wa mradi huo wa umeme ambao utazalisha...
  5. Arab Contractors na Elsewedy Electric Kukabidhiwa Rasmi Eneo la Rufiji (PHPP) Kesho

    Kesho ni siku rasmi ya Wizara ya Nishati kuwakabidhi makampuni Arab Contractors na Elswedy Electrics eneo la Striegler's Goege kwaajili ya ujenzi wa bwawa la umeme litakalotoa MW 2115 kuanza rasmi PIA SOMA Arab Contractors na Elsewedy Electric Kukabidhiwa Rasmi Eneo la Rufiji (PHPP) Kesho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…