mkoa wa arusha umekua chimbuko la lugha mbili maarufu moja ikiwa ni Arachuga, na nyingine ikiwa ni kisharua ambayo maneno ya kiswahili zanasomeka toka kulia kurudi kushoto mfano *jamiiforum hutamkwa mrufomija, pesa ; sape. Mara nying lugha hi wanaitumia watu waarusha na kidogo ningumu kuelewa...