Sasa ni Official, Referee Ahmed Arajiga ndio msimamizi wa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8.
Sasa ngoja tuone kama kutakua na malalamiko kutokana na makosa ya kiusimamizi.
Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Kassim Mpanga, Said Hamdani na Salum Nasir wameteuliwa na na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) kuchezesha mchezo wa Kundi G wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 kati ya wenyeji Botswana dhidi ya Algeria utakaopigwa Mjini Francistown Nchini Botswana Machi 21...
Referee wa Tanzania ndugu Arajiga ndie referee katili na asiyetaka masihara na kazi yake hapa bongo ..
Huyu jamaa nilianza kumuogopa nakumuona nuksi ile Siku alipomlima kitasa Ibrahim Bacca kadi nyekundu dakika ya 16 mchezo kati ya Bingwa wa mabingwa , nguli wa soka la bongo "Yanga" " Azam...
Arajiga ni mwamzi Bora kabisa katika nchi yetu tukubali tukatae, akiamua mchezo kila mpenda mpira Huwa anaridhika kabisa na kuona haki imetendeka
Arajiga msimu huu pekee amechezesha mechi za Yanga 6 Yanga lakini hajapewa mchezo wowote wa Simba auamuwe.
Simba wamekuwa walipewa waamzi...
Hii match angepewa Kayoko ndo anaweza imudu. Arajiga hana stahimili. Anagawa sana kadi na pia si msikivu. Sikupenda yeye kupewa hii match. Nlijua tu kushinda ni ngumu.
Huyu jamaa asiwe anapewa derby. Derby apewe Kayoko ndo anazimudu sana. Tumefungwa lakini kwa mbinde.
I will be short
Lini umeona Simba mechi yake anachezesha arajiga ?? Yanga mechi 3 . Azam fc . Ila Simba mechi zao zote ni za bahasha . Leo Refa kawa onea sana Namungo .
Karia kavuta pesa za mo . Kuwapa ubingwa wa mezani Simba .
Kila mechi ya Simba refa anamakosa ya kibinadamu .
Nimetokea kuvutiwa na baadhi ya waamuzi kwa jinsi wanavyochezesha mpira kwa namna inayoleta burudani
Mfano napenda sana kuangalia mechi za Arajiga, ni mechi ambazo timu ikilemaa inakula dozi ya kutosha, mfano ni leo kenglold wamebebeshwa kilo 4 na Azam.
Ni wapi naweza kupata orodha ua mechi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.