Utangulizi.
Mama Fatma ni mama mwenye nyumba anayeheshimika sana katika kijiji cha Mivumoni. Ana majengo mawili ya kupangisha, ambayo yamejengwa kwa mbao imara na mabati ya kijani. Kila mwezi, wapangaji wake wanafika ofisini kwake, ambayo ni sehemu ya nyumbani kwake, kulipa kodi na kumshukuru...
Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko.
Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
Habari zenu mabibi na mabwana. Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza, Nahitaji ardhi yenye rutuba hata kama ina mapori.
Ikiwa na channel ya umwagiliaji au kua karibu na mto ntashukuru zaidi. Napendelea maeneo ya bushi kidogo kwani sina ela ya kupgana vikumbo na matari mijini. Nahitaji kwa...
Kwenye uchambuzi unaofuata nitakuwa nakushirikisha makosa matatu (3) au zaidi kila siku. Kitabu hiki hakina sura, hivyo nitakushirikisha namba za makosa hadi kufikie kosa la 75 kwenye kitabu hiki.
KOSA #01; Kutokuanza Kuwekeza Mapema Kwenye Ardhi Na Majengo.
Hili ni kosa kubwa sana ambalo...
Kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo imekuwa ni chanagamoto kubwa kwa wengi. Changamoto hii inasababishwa na kukosa maarifa sahihi na kufanyia kazi maarifa sahihi.
Ili uondoe hofu ya kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo unahitaji kuwa na maarifa sahihi.
Maarifa sahihi yatasaidia kuondoa...
Tanzania nchi yenye kila aina ya raslimali nchi yenye nguvu kazi ya kutosha watu mil.60
Nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo na makazi lakini wananchi wake ni masikini wa kutupwa wamerundikiwa furushi la tozo kila mwananchi kalibeba furushi
Ili tuyaepuke hayo maisha ni muhimu katiba mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.