ardhi university

  1. Mambo 30 Muhimu Kwenye Kuandaa Mikataba Ya Upangishaji Wa Hosteli Ya Chuo

    Kwenye makala hii nimekushirikisha vipengele muhimu zaidi vinavyotakiwa kwenye mkataba kati ya mmiliki na msimamizi wa hosteli. Ninaamini kwa kuzingatia mambo utaweza kupunguza changamoto nyingi zinazohusiana na usimamizi wa majengo ya hosteli za wanafunzi wa vyuo. Hapa kuna sheria 30...
  2. BCom in Accounting at UDSM or BSc in Accounting and Finance at Ardhi University?

    Bachelor of commerce in accounting at udsm vs Bachelor of science in accounting and finance at ardhi university naomba ushauri niende course ipi apo
  3. TCRA na TCU wachukue hatua kali kwa Wasafi TV kutokana na 'kiki' ya mapacha kufanyiana mtihani

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna hiki kipande cha video kinachobamba mtandaoni kuhusu mapacha wawili ‘wanaokiri’ hadhrani kufanyiani mtihani ‘chuoni’. Ukisikiliza kwa makini na kwa utulivu wa hali ya juu, utagundua kuwa hawa watu wanaigiza tu. Haiingii akilini watu...
  4. Drivers III at Ardhi University (2 positions)

    Ardhi University has vacant positions in the Administrative cadre of Drivers on temporary basis. The University subscribes to the policy of an equal opportunity employer and therefore invites applications from candidates who are interested to work in a thriving University environment and have...
  5. Ardhi University wasitisha utaratibu wa kuweka sahihi ya mahudhurio kazini kwa watumishi wake

    Chuo kikuu cha ardhi kimesitisha utaratibu wa kuweka sahihi ya mahudhurio kazini kwa watumishi wote kwa sababu zisizojulikana hadi itakapotangazwa hapo baadae. Watumishi wameombwa kuendelea kujali muda wa kufika kazini kama walivyozoea na wakuu wa vitengo wameombwa kuendelea kufuatilia...
  6. Elimu: Hotel Desderia yatumika kufundishia Landscaping Ardhi University

    Hotel ya kisasa ya nyota 3 ya Desderia iliyoko Jijini Mbeya imejiongezea majukumu yake baada ya sasa kuanza kutumika kwenye masomo ya Chuo Kikuu nchi Tanzania. Pichani ni wasomi kutoka Ardhi University ya Dar es Salaam wakiwa na MD wa Hotel hiyo Mh Joseph Mbilinyi walipofika Hotelini hapo...
  7. Inter transfer for university

    Nimeandika barua ya transfer chuo na nmefata procedure zote za TCU lakin jina langu la waliochaguliwa na chuo husika halipo. Naomben msaada nini cha kufanya.
  8. Msaada: Jinsi ya kufanya maombi Ardhi university

    Mbna hawanipi payment fee .. wanasema application pending
  9. Tutorial Assistant at Ardhi University

    ARDHI UNIVERSITY JOB VACANCIES Ardhi University has vacant position in the Academic cadre as indicated below. The University subscribes to the policy of an equal opportunity employer and therefore invites applications from candidates who are interested to work in a thriving University...
  10. Top Universities in Tanzania in 2020

    What are the most popular Universities in Tanzania? uniRank tries to answer this question by publishing the 2020 Tanzanian University Ranking of 32 Tanzanian higher-education institutions meeting the following uniRank selection criteria: being chartered, licensed or accredited by the...
  11. Kujiunga Na Chuo Kikuu Ardhi

    Angalia kiambatisho, mahsusi kwa wenye diploma na kwa waliosoma kidato cha sita. JIUNGE SASA http://admission.aru.ac.tz/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…