Serikali siku zote inasisitiza mapato, na imeunda systems za kurahisisha ukusanyaji wa mapato hayo.
Sasa inapoelekea systems hizo hazifanyi kazi basi ujue kuna hujuma ili hela zilipwe kwenye mifuko ya watu.
Wizara ya Ardhi, nimejaribu kutumia web page hii ili kukadiria na kulipa kodi bila...