Baraza za Ardhi na Nyumba limetoa amri ya kuchukuliwa kiwanja cha michezo na mapumziko cha Shule ya msingi Mukirehe iliyoko wilayani Ngara.
Kufuatia uamuzi huo, aliyeshinda kwenye shauri hilo, amejenga uzio kuzuia wanafunzi kutumia kiwanja cha shule hiyo iliuyanza zaidi ya miaka 40 iliyopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.