armenia

  1. britanicca

    Katika majukumu 2018-2022 Nchi za Urusi, Armenia,Vietnam,Thailand na Singapore, nilidakwa na Binti Mnyaru kimahusiano nikagundua kagame Noma Hatari

    Asalaaaaamu, Britanicca hapa! Matumaini yangu ni wazima ! Kuna ka story ambako kanaweza kuwa na episodes kadhaa Ila ni Kama ka drama fulan ka ukweli kaliko changika na ujasusi ndani yake! Kagame mnyoshee mikono! Naokumbuka vema ilikuwa siku ya Alhamisi tarehe 8 Mwaka 2018 nikapokea simu toka...
  2. Eli Cohen

    Uturuki inaituhumu Israel kwa genocide kwa Wapalestina. Je, wao wamesahau walichowafanyia Wakristo wa Armenia?

    Mamlaka ya uturuki iliwaua Waarmenia kati ya 600,000 hadi 1,500,000. Mnamo tarehe 24 Aprili 1915, mamlaka ya Ottoman ilikamata na kufukuza mamia ya wasomi na viongozi wa Armenia kutoka Constantinople. Kwa amri ya Talaat Pasha, wastani wa Waarmenia 800,000 hadi milioni 1.2 walipelekwa kinguvu...
  3. L

    Rais wa Armenia apata Bahati ya kipekee kuonana na Dkt Tulia Rais wa IPU

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wa Armenia ameonyesha kufurahia sana na kutabasamu pale alipopata bahati ya kuonana na Rais wa umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Daktari Tulia Ackson Mwansasu aliyekuwa Armenia kuongoza vikao vizito sana. Ikumbukwe ya Kuwa ni miezi michache tu Dkt Tulia aliweza...
  4. dem boy

    Rasmi sasa Armenia nayo waitambua Palestina kama nchi

    aljazeeraenglish #Armenia has officially recognised a Palestinian state, the Armenian Foreign Ministry said in a statement on Friday, defying Israel, which is opposed to such moves.⁠ .⁠ Armenia supports a #UN resolution on an immediate ceasefire in Gaza and is in favour of a two-state solution...
  5. M

    YEREVAN: Armenia yajiondoa kwenye Muungano wa Kiulinzi wa CSTO unaoongozwa na Urusi.

    Waziri mkuu wa Armenia, Nikol Pashnyan ametangaza kuiondoa nchi yake kwenye Muungano wa Kiulinzi unaoongozwa na Urusi wa CSTO. Hayo yamejiri baada ya nchi ya Azerbaijan kulichukua kijeshi jimbo la NAGRO KARABHAL ambalo linagombaniwa na nchi hizo mbili. Armenia waliituhumu Urusi kushindwa...
  6. MK254

    Putin hatoweza kwenda hata hapo jirani Armenia, wamejiunga ICC, Urusi yalalamika sana

    Urusi imelalamika kwa Armenia kujiunga ICC, ina maana dunia inazidi kuwa ndogo sana kwa Putin maana hata hapo kwa majirani zake hawezi kuwatembelea... The National Assembly of Armenia has adopted a draft law on the ratification of the Rome Statute, the basis of the foundation of the...
  7. MK254

    Raia wa Armenia waingia barabarani wakiagiza nchi yao iondoke kwenye muungano na Urusi

    Mojawapo wa sababu wanasema juzi nchi yao imepokea mkongoto/kichapo ilhali Urusi haikufanya chochote kuwasaidia licha ya kuwa na base ya kijeshi pale. ========== Over a hundred people gathered in Armenia’s capital, Yerevan, on Sunday demanding their country leave the Collective Security Treaty...
  8. M

    Nancy Pelosi awasili nchini Armenia na kuilaumu Azerbaijan kwa mapigano ya mipakani

    Speaker wa Bunge la wawakilishi nchini Marekani,Nancy Pelosi amewasili katika mji Mkuu wa Armenia,Yerevan. Ziara hiyo inakuja baada ya Mapigano makali ya Kijeshi Kati ya Armenia na Azerbaijan yaliyosababisha Vifo vya Wanajeshi zaidi ya 250 kutoka pande zote Mbili. Mapigano hayo yalitokea katika...
  9. MK254

    Mapigano yazuka kati ya walinzi wa mpaka wa Kyrgyzstan na Tajikistan

    Siku zote Urusi amekua akikingia kifua Armenia, na yupo hadi na base pale, ila ilipobainika Urusi hana chochote cha maana kwenye medani za vita baada ya aibu anayopata Ukraine, ghafla Azerbaijan wakaanza kuchakaza Armenia. Na mtanange haujaishia hapo, kunao hawa Kyrgyzstan na Tajikistan...
  10. MK254

    Urusi yabembeleza Armenia na Azerbaijan waache vita

    Urusi imetia adabu, leo hii wamekua wa kwanza kuhubiri amani, yawaomba Armenia na Azerbaijan waache kupigana. ===== "We hope that the agreement reached as a result of Russian mediation on a ceasefire from 9 a.m. (local time) on September 13 will be fully implemented," the Russian Foreign...
  11. Axel Lloyd

    Armenia na Azerbaijan kunafukuta, warushiana mizinga

    Mgogoro wa Armenia na Azerbaijan upo mbioni kufufuka tena baada ya Armenia na Azerbaijan kulaumiana kufanya mashambulizi. Armenia inailaumu Azerbaijan kufanya mashambulizi ya mizinga na drones dhidi yake huku Azerbaijan ikiishutumu Armenia kufanya mashambulizi ya risasi dhidi ya wanajeshi wake...
Back
Top Bottom