arts

The arts refers to the theory, human application and physical expression of creativity found in human cultures and societies through skills and imagination in order to produce objects, environments and experiences. Major constituents of the arts include visual arts (including architecture, ceramics, drawing, filmmaking, painting, photography, and sculpting), literary arts (including fiction, drama, poetry, and prose), performing arts (including dance, music, and theatre), and culinary arts (including cooking, chocolate making and winemaking).
Some art forms combine a visual element with performance (e.g. cinematography), or artwork with the written word (e.g. comics). From prehistoric cave paintings to modern-day films, art serves as a vessel for storytelling and conveying humankind's relationship with the environment.

View More On Wikipedia.org
  1. Unataka kumshika mtu paji lake la uso au mkono akapata shoti au kudondoka...fanya hivi....(The arts of Static Electricity)

    Fahamu namna unavyoweza kutumia umeme wako wa mwilini kumtetemesha mtu mwingine, Kuna wanamazingaombwe wengi,wanaojua vizuri nini cha kufanya kujikusanyia chaji nyingi kwa muda mfupi. Kikubwa wanachozingatia mazingira na mavazi. Vifaa.... 1.Eneo unalotembea au kupitisha miguu lazima liwe...
  2. G

    Je, nichague course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira kwa combination za arts?

    Mimi ni muhitimu wa kidato Cha sita mchepuo HGK. Nahitaji kujua ni course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira naweza kwenda kusomea chuo kikuu?
  3. Wapi Varda Arts

    Nadhani kwa watu waliojitahidi kupereresha bendera ya Tanzania na hawa Varda Arts wapo Heko kwao..., Kwa kweli Uzalendo upo Moyoni na Uzawa ni kwenye Vitendo wala sio kwenye Ngozi..... Moja ya kazi yao nzuri... Salama Tanzania https://youtu.be/0tU0GcTUrDM?si=bgoH41Nm2sHmEhyE...
  4. Natafuta mwalimu wa martial art

    Habari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka. Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji. Nilikuwa na ndoto hii kwa muda mrefu ila sikuweza kuitimiza ijapokuwa umri umeenda niko tayari...
  5. Kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani?

    Kozi ya bachelor of arts in economics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gan?
  6. Kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?

    Hii kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
  7. Kati ya bachelor of science in statistics na land management and valuation ipi itanifaa kusoma chuo mwezi wa 10 mwaka huu?

    Habari wadau wa jf, nimemaliza six mwaka jana mwezi wa 5 mchepuo wa HGE nina ka one ya 9 with c flat. lakini nilishindwa kujiunga chuo mwaka huo kutokana na kushughulikia masuala yangu ya kiafya . Moja ya course nilizokuwa nazifikiria mwaka jana ni land management and valuation na statistics...
  8. UALIMU: Muongozo kwa vyuo vinavyotoa kozi ya Ualimu (Arts) kwa ngazi ya Certificate na Diploma

    Salaam Wakuu, Kidato cha nne mwaka 2021 Kijana alipata Division Two ya Arts. Hakwenda kabisa Advance kwa sababu za kiafya hivyo sasa ameamua kwenda chuo kusoma ualimu. Kijana anataka kusoma DUCE au Mwalimu Nyerere (MNMA). Msaada: Ni utaratibu gani hutumika kufanya maombi ngazi...
  9. Kama umemaliza shahada ya uzamili katika fani ya Uchumi (Master of Arts in Economics/ MAAE) hivi karibuni nitafute

    Kama umemaliza hiyo fani kwa miaka ya karibuni na hesabu zinapanda vizuri, tafadhali nicheki. 1. Uwe unaishi Dar 2. Uwe huna ajira ya kudumu au kama unaweza tenga muda japo saa mbili kwa siku kufanya kazi haina shida 3. Uwe unajua hesabu vizuri. Urgent. Tuwasiliane. +255 676 377 400 au...
  10. F

    Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

    Habari wadau, Mwanafunzi wa UDSM kutoka department ya Creative Arts maarufu kama Plaboe ametangazwa best student katika mahafali ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam ya mwaka 2023. Kijana huyo ameongoza kwa kupata First Class GPA ( 4.8) ambayo ni ya juu kuliko wanafunzi wote UDSM. Amesoma...
  11. Master of Arts with Education (Geography Stream)

    .
  12. Assistant Arts Officer (Art and Design) (2 Post) at BASATA

    Position: Assistant Arts Officer (Art And Design) – 2 Post Employer: Baraza La Sanaa La Taifa (BASATA) Duties And Responsibilities i. To schedule a clear calendar and lists of Fine Arts and Crafts events; ii. To participate in Fine Arts and Crafts events (festivals, Performances, Competitions...
  13. Nashauri ianzishwe Kozi ya Bachelor of arts in artifical intelligence (AI) vijana waendande na kasi ya wenzao duniani

    Naomba nieleweke ni Arts sio Science. Kimsingi kasi ya matumizi ya AI karibu katika kila kitu mitandaoni ni kubwa na kuna baadhi ya taaluma zitakufa kifo cha mende. Napendekezwa ianzishwe kozi maalum ya jinsi ya kutumia hii kitu kujipatia kipato katika real life na kuachana na yale mamitaala ya...
  14. Katika hizi Ajira Mpya za ualimu TAMISEMI Mtu aliyesoma masomo ya arts tofauti na kingereza hizi nafasi hazimuhusu?

    Nimesoma PDF ya Tamisemi nimeona watu wa arts wamepigwa k.O Na K.T.O Sasa hii imekaaje naona English ndo wamepewa nafasi tu.
  15. Masomo ya Arts ni muhimu nchini

    Viongozi wote waliofanya vizuri ni waliosoma Arts katika Level kubwa za Urais. Kitendo Cha Mtu kuwa Rais na hajui kingereza madhara yake ni kujifungia ndani na kushindwa kuinganisha nchi na mataifa ya nje. Tuwekeze Sana katika haya masomo ili tuondoe tatizo la watu kukosa lugha ya mazungumzo...
  16. Kwenye martial arts movies hakujawahi kuwa na fight scene bora kama hii

    Movie ni wheels on meals. Jack Chan vs Benny Urquirdez
  17. Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi kozi, washaurini kabla hawajaenda kupoteza muda

    Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi course Bachelor of Arts in English, Bachelor of Arts History, Bachelor of Arts Kiswahili😭😭😭 Ni huzuni kwa kweli. Kuna hizi za sayansi pia Bachelor of science in chemistry Bachelor of science in physics Bachelor of science in biology Mm siyo muandishi...
  18. Nataka kusoma course ya Fine Arts and Design naomba ushauri

    Niko combination ya science nataka nikasomee Bachelor of fine art and design.. Ninakipaji cha kuchora.
  19. Ukisoma course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology inakupa opportunity ya kufanya kazi sehemu zipi?

    Jamani naomba kufahamishwa kwa anayeifahamu kwa ukaribu course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology.. mtu aliyesoma hii course ni kwamba anakuwa Sociologist na Economist kwa wakati mmoja? Naomba majibu tafadhari
  20. B

    diploma in education (arts) kwenye mfumo wa ajira tamisemi

    kuna mtu amefanikiwa kuweka masomo ya kufundishia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…