Pichani anaitwa Kevin Charles.
Jina la maarufu hapa kibaha maili moja anaitwa Masai.
Ni kijana mzaliwa wa Arusha alikuja kibaha kwa harakati za kutafuta pesa KELVIN CHARLES alipata ajali ya pikipiki na kufariki dunia kipindi anakimbizwa katika hospital ya Tumbi majuzi Jumatatu jioni.
Mpaka...
Wananchi wa Kiranyi wilaya ya Arumeru wamefunga barabara kwa zaidi ya masaa matatu kwa lengo lakufikisha ujumbe kwa serikali, kutokana na ubovu wa barabara hiyo kwa muda mrefu huku wakilaumu MBUNGE wa eneo hilo kuwa mzigo kwa wananchi hao kwakushindwa kutekeleza ahadi yake ya Ujenzi wa Barabara...
Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), wakishinikiza Serikali kutatua changamoto ya eneo korofi...
Wakuu,
Inaonekana mambo ya nishati safi yameendelea kushika kasi hapa nchini
Wananchi wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha wameipongeza Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa mradi wa usambazaji na uuzwaji wa majiko ya gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku ya 50%
Wametoa pongezi...
Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki.
ACT Kura 528
CCM Kura 417
Kwa hivyo Jotsun Mbise ndio Mwenyekiti wa Kijiji cha Nkoasenga.
PIA SOMA
- LGE2024 - Arumeru: Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Seela Sing’isi waenguliwa...
Hapa wilayani Arumeru usiku wa kuamkia leo yalipita manyunyu kidogo sana ya mvua, ajabu umeme umekatika kuanzia usiku mpaka sahizi hautarudi.
Huu mfumo wa umeme una nini. Je ingetokea dhoruba kubwa tungejificha wapi, tunaishi maisha ya kubahatisha sana, mfumo wa umeme wa TANESCO umeoza, na...
Watumiaji wa barabara iliyopo Kata ya Oldonyowasi, Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha, wamedai kuwa wakiwa wanapita na usafiri wa magari na pikipiki katika barabara hiyo wamekuwa wakitozwa shilingi elfu mbili (2,000) kwa kila siku ya jumamosi na kuelezwa kuwa fedha hizo ni kwa ajili ya ukarabati wa...
Wakuu,
Eh kususa tena! Ujumbe wa Lissu kuhusu kujipanga upya utakuwa haujawafikia? Bado tu hawaelewi wakisusa wenzao wala?
=====
Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kata ya mbuguni wilayani Arumeru kupitia mwenyekiti wake, kimelia na kuenguliwa kwa wagombea wao.
PIA SOMA
- LGE2024 -...
Wakuu
Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X ameanika taarifa hii kutoka huko Mkoani wa Arusha
"Arumeru Mashariki Wagombea wa ACT Wazalendo katika Kata ya Seela Sing’isi...
Wakuu,
Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii ACT Shangwe Ayo kupitia ukurasa wake wa X ameweka taarifa hii, inaonekana hali sihali huko;
"Arumeru Mashariki Kata ya Poli Mtendaji wa Kijiji cha Poli kaogopa kubandika...
Kikatiti wilaya ya Arumeru leo tumekuwa tukikatiwa umeme tangia asubuhi kuna nini? Sahivi tuko gizani, what's going on? Tunaomba umeme vinginevyo tupeni taarifa kuna nini.
Soma Pia: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, ameiomba Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuwezesha zoezi la Uhakiki wa Taarifa za Anwani za Makazi katika Halmashauri ya Meru baada ya kukamilisha zoezi hilo katika Halmashauri...
Katika hali isiyo ya kawaida kutoka ya Wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Mwanamke mmoja amelalamika kuvunjiwa nyumba aliyokuwa akiishi yeye pamoja na mtoto wake nyumba hiyo imevunjwa na aliyekuwa Mume wake, Baada ya kumpa talaka Mahakani.
Mwanamke huyo anadai kwamba nyumba hiyo walijenga pamoja...
TANESCO wilaya ya Arumeru mkoani Arusha kuna tatizo gani tangia jana. Jana umeme ulikatika zaidi ya mara 10, usiku ukakatika tena mara kadhaa, asubuhi hii umekatika tena, mbona hamna taarifa kuna nini?
Mmetuunguzia vifaa vyetu, tunaotegemea kazi ya kukata, kukereza na kuunga vyuma tunafanyaje...
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ambureni kata ya Ambureni wilayani Arumeru baada ya Mwanamke mmoja ajulikanae Kwa jina la Manka kumshambulia kwa kipigo mwanamke ajulikanae Kwa jina la Rogata Nkya ambae Kwa sasa ni marehemu kisa kuokota kuni shambani kwake Mtuhumiwa.
Mdogo wa marehemu...
Tangia saa 2 asubuhi leo huku Halmashauri ya wilaya ya Meru TANESCO wamekata umeme mpaka sahizi. Kwanini umeme ukatwe kwanza bila taarifa? Na mpaka sahizi?
Kuna tatizo gani. Kwanini Huu utaratibu usio wa kistaarabu? Huyu meneja wa TANESCO wilaya ya ARUMERU afuatiliwe, kama vipi akae pembeni
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600
Source Mwananchi
Vijana Msilale bado Mapambano 😂🔥
==
Watumishi 13 wa sekta ya afya kutoka Halmashauri ya Arusha Dc wilayani...
Shule ya Sekondari ya Nshupu iliyopo Kijiji cha Nshupu, Wilaya ya Arumeru, Kata ya Nkoaranga Mkoani Arusha haina milango na katika baadhi ya majengo ikiwemo yale ambayo wanaishi Wanafunzi wa kike wa shule hiyo.
Kutokana na hali hiyo kumekuwa na matukio ya wahalifu kuvamia na kufanya uhalifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.