TANESCO wilaya ya Arumeru mkoani Arusha kuna tatizo gani tangia jana. Jana umeme ulikatika zaidi ya mara 10, usiku ukakatika tena mara kadhaa, asubuhi hii umekatika tena, mbona hamna taarifa kuna nini?
Mmetuunguzia vifaa vyetu, tunaotegemea kazi ya kukata, kukereza na kuunga vyuma tunafanyaje...